wakristo

  1. Kifurukutu

    Waislamu sikukuu ya mwaka mpya sio yenu, mligomea xmas na hii mtuachie wakristo

    Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa...
  2. sanalii

    Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

    Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo. Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
  3. Stability

    Nakumbuka Ronaldo alipost "Eid Mubarak" hakuna kipangamizi alipata kutoka dunia ya Wakristo ila Mo Salah kupost na mti wa X-Mas tu imekuwa kesi

    Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli" Mengine nawaachia
  4. Kitimoto

    Benjamini Netanyahu awatakia wakristo wote Krismasi njema

    Marafiki zangu wapendwa Wakristo, mnapokusanyika pamoja na familia na marafiki zako Krismasi hii, ninawatakia jumuiya ya Wakristo katika Israeli na ulimwenguni kote baraka za Krismasi Njema kutoka Nchi Takatifu. - BENJAMINI NETANYAHU...
  5. Optimists

    Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

    Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,.. Sasa kuna binti ambaye...
  6. Yoda

    Wakristo wanaoilaani na kuishambulia Israeli taifa teule wamepotoka?

    Ni sahihi kwa Mkristo kuipinga, kuibagaza, kuilaani na kushambulia taifa teule la Israel wakati Biblia imejaa maandiko tele yanayoonyesha Israel ni taifa teule ambalo ukilibariki na wewe utabarikiwa ? Mkristo kuilaani Israel sio kwenda kinyume na maandiko yanayomuongoza pamoja na viongozi wake...
  7. R

    Wakristo kimbieni upumbavu wa kuombewa

    Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
  8. M

    Familia ya Bashar Assad

    Mzuka wanajamvi! Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion. Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez...
  9. Makonde plateu

    Familia ya kiarabu na wakristo wameniambia niache kutembea na mtoto wao eti kisa nimi ni muislamu nikiendelea watanifunga jela

    Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa ambao ni dini ya kikristo wameniambia niache kutembea na binti yao eti kisa mie ni muislamu na sina...
  10. G

    Naupenda uislam tatizo wakijaa kunaanza matukio ya kushambulia wakristo, kulazimisha sheria za kiislam, kuweka vizuizi vya makanisa, n.k.

    Uislam ukiwa na watu wachache kwenye nchi au sehem yenye mamlaka ni dini nzuri lakini tatizo ni pale wanapokuwa wengi balaa ndipo huanza. Kunazuka mashambulizi dhidi ya wakristo kwa kuonekana ni maadui wa uislam (wao huita makafiri) - Basi hapa huzuka matukio ya wakristo kupigwa, kubomolewa...
  11. Pdidy

    Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  12. sanalii

    Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

    Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam. Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani. Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12...
  13. M

    Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao

    Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao Akiwa amesimama kwenye jukwaa katika kituo cha mikutano cha Florida usiku wa uchaguzi, safu ya bendera za Marekani nyuma yake na umati wa watu wenye furaha wakitazama, Donald Trump alisema: "Watu wengi wameniambia kwamba Mungu...
  14. Yoda

    Kwanini Wakristo na Waislamu wa zamani walichukulia utumwa kama jambo la kawaida ni sio uovu?

    Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto? Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili walikuwa wanachukulia utumwa kama jambo la kawaida tu hapo zamani? Hawakuwa na utashi(conscience)??
  15. Pascal Mayalla

    Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  16. mabutu1835

    Madhumuni ya Jumuiya na Seli za Wakristo ni yapi?

    Naomba kusainiwa ndugu zangu hivi hizi jumuiya na seli za wakristo lengo lake hasa ni nini? Mbona sioni cha ziada, zaidi ya michango na kufokewa? Hizi jumuiya na seli zimekuwa kama vile mtego kwa wakristo wote, ooh haionekani seli/jumuiya anyimwe huduma. Yeyote mwenye kujua dhima na faida za...
  17. matunduizi

    Israeli ni Wakristo waliozaliwa mara ya pili, sio wale jamaa pale Middle East

    Wagalatia 3:28 ,29 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi. Ni hayo tu. Mfano mimi sio mmatumbi kimsingi ni...
  18. Oscar Wissa

    Umuhimu wa Kiongozi wa Kiroho Kuwa na Muda na Wakristo ili Kuwaimarisha

    Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji muda wa kibinafsi na viongozi wao wa kiroho ili kupata msaada wa kiroho na kiushauri, kuelewa...
  19. Wambandwa

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
Back
Top Bottom