shakamooni wakubwa zangu, poleni na majukumu,
Mimi mdogo wenu kutokana na wenge la matokeo ya mtihani wa taifa f6 2020 nilipata kuomba moja ya chuo cha diploma hapa nchini, kwa bahati nzuri nimepata kuchaguliwa lakini matokeo yangu ya advance yananiruhusu kwenda chuo kikuu na tayari nimesha...