wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Naibu Spika Tulia: Musukuma usiaminishe wanafunzi kuwa elimu ya darasa la 7 ni bora kuliko elimu ya juu

    Naibu Spika Tulia Ackson amemkosoa Mbunge Wa Geita Vijijini Joseph Msukuma, kuacha kuaminisha wanafunzi kuwa elimu ya darasa la saba ni bora kuliko elimu ya juu kwa kuwa Serikali inajitahidi kuboresha shule kwa ajili yao na hivyo ni muhimu kuwahamasisha kusoma kuliko kuwakatisha tamaa. Naibu...
  2. Chomo

    Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

    Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa. List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo. Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  4. makwa

    Dr. Festus Limbu, binafisi nimekuelewa saana kwa hili swala wafanyabiashara wakubwa

    Hii makala inapatikana katika gazeti la jamhuri la april 6,2021
  5. Sam Gidori

    Wakuu wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 - 2021

    Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021. Mwaka Nchi Kiongozi Sababu 2021...
  6. B

    Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

    Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao. Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu...
  7. Dedan j Dedan

    Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena?

    Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena? Naombeni mnisaidie wakubwa
  8. beth

    Waziri Jafo: Asiyekuwa na kitambulisho au hana kundi asiruhusiwe kufanya biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewapa wiki mbili Viongozi wa Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha kuwa ndani ya wiki mbili kuanzia sasa wawe wamesimika mfumo wa kutambua orodha ya majengo na mabango yaliyopo...
  9. Baba duu Magezi

    Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

    Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha...
  10. Mung Chris

    Kwanini waganga wakubwa na wachawi wa kike kwa wakiume hawakosi magonjwa makubwa na ni maskini sana

    Nimejiuliza sana, kati ya waganga nilio wahi kuwafahamu au kuwatembelea na wale ambao marafiki zangu wachache wali wahi kuwaona hakuna ambaye nimewahi kutana naye ambaye hana magonjwa makubwa kama Presha, HIV, au kwa wanawake wana matumbo makubwa utadhani ni wajawazito, na ni maskini sana...
  11. J

    Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  12. M

    Nini kinasababisha wake za marafiki zangu wawili Joni wa Kanda ya Ziwa na Huseni wa Visiwani Zanzibar mmoja kuwa Mchangamfu na mwingine Mpweke?

    Na kinachonishangaza zaidi Joni ni mkubwa Kiumri na hata Kipesa kuliko Huseni ila cha Kushangaza ni Siku chache sana tu Huseni wa Visiwani Zanzibar kapanda Cheo cha Kusimamia Karafuu za Zanzibar huku akitanguliwa Siku nyingi na Joni ambaye ana Cheo cha Kusimamia Samaki zote za Kanda ya Ziwa ila...
  13. B

    Tujadili ubaguzi; Kwanini viongozi wakubwa wanaoibia Taifa letu awachapwi viboko adharani mbele ya camera?

    Maskini katika nchi yetu akihisiwa kutenda kosa au akituhumiwa kutenda kosa viongozi uchukua vyombo vya habari na Polisi kisha kuwachapa adharani. Matukio haya yamefanywa kwa waalimu, mafundi ,wanunuzi wa vyuma chakavu nk Ukiangalia adhabu hii inavyotolewa ni wazi utagundua inatolewa kwa...
  14. Mkyamise

    Wakubwa tunawakumbusha kuhusu ile tume ya ku-harmonize mishahara

    Nakumbuka kuna tume hii ambayo ilipigiwa chapuo na wakubwa wa government kuwa ndio itakayokuwa suluhu ya tofauti kubwa ya mishahara katika utumishi wa umma. Je hii tume mpaka leo haijakamilisha kazi yake?
  15. GIRITA

    Wasafi TV inabidi mkajifunze kwa Clouds TV namna ya kurusha vipindi mubashara

    Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani. Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
  16. mama D

    Wakubwa tujadili

    Inaendaje hii. Wanaume mtupe muongozo
  17. N

    Naomba mnisaidie connection ya kazi au Internship, nina Shahada ya Uhasibu

    Habarini wakubwa, Nimekuja kwenu nikiamini kwamba JamiiForums ni sehemu inayokutanisha watu wengi tofauti tofauti, waliojikita katika nyanja na sekta tofauti, hivo nimeona ni sehemu sahihi ya kutanua network yangu na kupata msaada juu ya hili swala. Mimi Ni kijana fresh graduate ninayeishi...
  18. U

    Wakubwa Kitoabu na mbwichichi

    Wakubwa zangu nawaomba sana mfanye mje na simulizi nyingine za kusisimua. Hili jukwaa halinogi bila michango yenu viongozi. Jukwaa limepoa mno!
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Madereva wa Serikali ndio wanufaika wakubwa wa zoezi la Serikali kuhamia Dodoma

    Dodoma sasa ni HQ ya Serikali hii ya JMT. Sijabahatika kuona umuhimu wa moja kwa moja kwa wananchi tangu Dodoma iwe makao makuu. Tuje kwenye point, madereva wa wizara mbalimbali na taasisi mbalimbali zilizohama Dar na kuhamia Dodoma ndio wanufaika wakubwa wa zoezi hili. Ukizingatia mishahara...
  20. GENTAMYCINE

    Ni kwanini jambo hili la kufanya ngono tuliachiwa wenyewe?

    Ni kwanini mambo mengi wakati tunakuwa ( tukikuwa ) tulikuwa tukielekezwa na Wakubwa zetu, ila la Kufanya Ngono tuliachiwa wenyewe? Je, ni Utashi gani au Ujasiri gani wa Kiasili umeumbwa ndani ya Ubongo wetu Binadamu kiasi kwamba Watu wote tu hatukufundishwa Kungonoka?
Back
Top Bottom