Wanasema lugha ambayo Mungu alitumia kuumba ulimwengu ni hesabu. Hata wanapoangalia na kulinganisha performance ya elimu kwa nchi mbalimbali, huangalia Hesabu na sayansi.
Sasa basi, ufaulu wa Hesabu mwaka huu ni asilimia 20. Au ni 30? Hii inamaanisha asilimia 80 ya watahiniwa wote wamepata F ya...
Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo.
Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu.
Johora Mola kakulipia Machungu yako.
Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana,
Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19.
Kwa...
Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum,
cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani.
Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa?
Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu.
Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye...
Hello JF,
Kuna threads nyingi sana humu za kilimo, jinsi kilivyo na potential ya kubadilisha Tanzania ila wakubwa hata hawajisumbui....sasa naomba tujadili njia za kuwashtua...😥😊😊😭
Seriously nimeona Tanzania ina depend on Agriculture by 76%, hii inamaanisha massively uchumi wetu ni Kilimo...
Ripoti ya jeshi la polisi nchini inaonesha ongezeko la asilimia 25.95 la ukatili dhidi ya watoto. Katika mwaka 2021 visa 7388 viliripotiwa kote nchini tofauti na mwaka 2015 ambapo matukio 5,803 yaliripotiwa.
Tatizo la watoto wengi hasa wa kiume kulawitiwa limekua kubwa pasipo kutajwa sababu...
Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi:
Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi.
Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025?
Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri?
Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,.
Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
Utangulizi
Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa dukani? Ukweli ni kwamba Kariakoo na masoko makubwa nchini hakuna machinga Bali Kuna kundi la watu...
Dunia hii ina watu wanaoongoza mambo yote makubwa, kama vile uchumi, elimu, majeshi, sayansi, nk.
Kwa bahati mbaya sana, watu hawa wana malengo maovu mno, licha ya kuwa wao ni kikundi kidogo sana. Lakini baya zaidi asilimia zaidi ya 90 ya wanadamu hawana habari na kile kinachoendelea. Wakubwa...
Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana Mwanza, nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji nguruwe wa kufuga, mbegu bora kabisa.
Karibuni sana 0719832015
The come back of Rashid Gwajima siyo ya kitoto we mchukulie kama chizi au serious(mimi huwa namuona mwehu )ila nipo Tabata hapa ka grocery fulani tunabishana suala la chanjo reference ya hawa jamaa ni video ile ya Gwajima najaribu kuwaelewesha nimeshindwa,anyway nime stick kula beer tu huku...
Hawa wasomi njaa hawa kipindi kile cha nyuma walitusababishia ikawa ukienda kula ndizi choma na mishkaki unawekewa kavu na ukitaka chachandu unatakiwa ulipie.
Yaani Ghafla Chachandu ikawa dawa ya Corona. Kwa utafiti gani haijulikani. Yaani sisi watu wa hovyo sana.
Wauzaji chips wakawa sasa...
https://www.bbc.com/swahili/habari-57510899.amp
Pesa ni kitu cha ajabu sana, mtu anazitafuta kwa udi na uvumba na anapozipata anazitumia kwa matumizi yake aliyojipangia au alichokipatia kipaumbele.
Lakini kama wanadamu tunatofautiana katika matumizi.
Jarida la Business Insider liliwahi...
Nawaonea huruma wanaharakati wa Tanzania ambao wamejitwika zigo la misumari vichwani mwao kuhakikisha kazi na sifa njema za aliyekuwa Raisi wetu JPM wanazipinga na kuwakwamisha wote waliokuwa wafuasi wake kama wanavyajaribu kwa mwanamziki wa kimataifa wa Kitanzania Maarufu kwa jina la Daimond...
Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams
Sasa unaambiwa wachezaji...
Mimi ni binti wa miaka 23 sasa. Nimekuwa kwenye mahusiano na kijana wa miaka 32. Mahusiano yetu ni ya mbali.
Yeye yupo Dar ila mimi nipo mkoa wa mbali sana ambapo kukutatana kwetu ni pale tu inapotokea likizo toka chuo kurudi nyumbani. Hapo tunaweza kuonana.
Tumeanza mahusiano huu ni mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.