Comrade Kinana amepasua jipu.
Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama.
Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari.
Ni jambo la kawaida sasa...
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.
Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.
Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa...
" Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021.
Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
amani
haji manara
hatari
kabla
kiburi
manara
maswali
muhimu
nchi
rais
rais samia
samia
serikali
siku
soka
ulipo
usoni
virus
wakubwa
yako
yanga
yanga sc
yangu
Wakuu
Poleni na majukumu.
Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi.
Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani.
Swali langu:
Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili.
Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata.
Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
Leo tutawatazama vizazi vya watu wakubwa katika historia ya Biblia baada ya gharika, kwa mujibu wa Biblia kulikuwa na vizazi vya watu wakubwa sana, mfano kama ilivyo leo katika jamii tofauti ama maeneo fulani kuna watu wakubwa kama Hashim Thabiti ambaye ana futi 7.2. Lakini katika zama za Biblia...
Toka mwaka 2011 tunahangaika sana na suala la nishati ,hivi ni wafanyabiashara gani wenye kuhodhi biashara hii Tanzania?
Kama unawafahamu wataje humu jamvini.
Rais Kikwete aliwahi kunukuliwa kuwa hawa jamaa huwa hawagusiki ukiwagusa tu unapata shida.
Salaam Wakuu,
Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote.
Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda...
Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea.
Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna...
Kuna hii kitu unakuta nchi tajiri kama marekani, japan ufaransa, au china zinaitisha mkutano na viongozi wa afrika. Bila shaka ni kujadili agenda za maslahi kuhusu nchi hizo tajiri.
Hivi karibuni tumeona european union na wao wakiitisha mkutano na viongozi wa afrika. Sasa utaona viongozi wote...
habari wakuu,
kampuni tajwa hapo juu ni kampuni ya kubett ijulikanayo kama piga bet ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha,
jana jioni nikapata pesa yangu sehemu ,nikasema ngoja niizalishe basi nikaweka kwenye acc,nikabett live matches match zikaisha zimetoa kasoro moja tu.
nikasubiri...
OLIGOPOLY
Kwanza neno oligopoly limetoka kwenye maneno mawili ya ki latin maana yake ni wauzaji wachache.
Sifa za Oligopoly:
1.Ugumu wa kuingia kwenye hili soko
Kutokana na mtaji wake kuwa mkubwa, vibali kuwa vingi nk
Mfano:
Biashara ya usafiri wa ndege, mtaji wake ni mkubwa, vibali na...
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.
Pamoja na...
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache
Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi
Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy).
Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.