wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    Wanaodai Rais Magufuli hakuwa anapingwa ni waongo wakubwa

    Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao. Hilo si kweli. Rais Magufuli alipingwa sana na watu. Tena watu wa kada zote. Kudai kuwa hawa...
  2. I

    Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  3. Mjegejo Wa Begeju

    Bara la Afrika, Maajabu Makubwa ya Viongozi na Watu wao

    Africa ndiyo bara linaloongoza kwa kuwa na maajabu mengi yasiyo na tija. Ni bara ambalo linaamua kumchagua binadamu mmoja kumfanya awe mungu, jambazi la kuheshimika, tapeli, muuaji na fisadi. Huyu akichaguliwa na kupewa vyeo hivyo anaachagua naye watu wa namna yake ambao watatenda kama yeye...
  4. Roving Journalist

    Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  5. Lord denning

    Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

    Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu. Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
  6. Acehood

    Wakubwa wa TANESCO kwenye ngazi za chini wasiruhusiwe kumiliki vibanda umiza.

    Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
  7. Webabu

    Wamarekani wanaokimbia Sudan wakumbwa na ujambazi na uporaji

    Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa...
  8. T

    Kijana yeyote aliye nyuma ya CCM, ni mwizi na mpenda rushwa kama walivyo wakubwa wao!

    Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo! Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii! Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi? Kijana wa ccm...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

    Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club World Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
  10. Lycaon pictus

    Kula dagaa kuna faida kuliko kula samaki wakubwa

    Tofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula hadi mifupa yake. Sasa mifupa ina madini mengi sana ya calcium. Madini hayo ndiyo hujenga mifupa ya viumbe wote. Binadamu anayekula dagaa anakuwa na mifupa imara sana kuliko alaye samaki wakubwa, hasa kwa watoto ambao wanakua. Kwa kweli...
  11. S

    Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao. 'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Wazee wa legacy wengi wao wanawachukia matajiri na ni mafukara wakubwa

    Wale wanaojifanya ni wazalendo na wazee wa legacy ya mwendazake wengi wao ni mafukara wakubwa. Wamepambana na maisha wamechoka na wamekata tamaa wamebaki kuwachukia matajiri wakihisi matajiri kama akina Rostam Aziz ndio wanaokula riziki zao. Aisee wazee pambaneni kama bado upo hai haina haja...
  13. Equation x

    Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

    Kama mwezi umepita hivi, nilikuwa hapa mjini kwa majukumu ya kikazi. Ili kazi iende vizuri, ilinilazimu kukaa hotelini kwa muda wa siku nne hivi. Baada ya kutoka kwenye majukumu, mida ya saa tatu usiku hivi, nilirudi hotelini, nikapiga maji kwanza ili kuondoa uchovu. Baadaye nikaomba wahudumu...
  14. Hold on

    Watanzania kuweni wakubwa akilini

    Vipi! Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni hivi kuna mtu ambaye hatazeeka atabaki hivyo hivyo? Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda Tandika mpaka jua lina zama...
  15. Sky Eclat

    Tim Martins mmiliki wa pub za Weatherspoon ni mmoja wa walipa kodi wakubwa nchi Uingereza

    Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write essays nor manage solving mathematics questions “. Baada ya kuachana na masomo Ali hustle na pub...
  16. Teko Modise

    Walimu wa Taifa Secondary watanyanyaswa sana na wakubwa wao wa kazi

    Kwa matokeo waliyoyapata katika mtihani wa taifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa leo, natabiri walimu wa shule hiyo watanyanyaswa mno na wakubwa wao wa kazi. Yaani watafokewa kuanzia na wazazi,diwani wa kata yao, mbunge, afisa elimu kata, afisa elimu wa wilaya, afisa elimu wa mkoa, wizara za...
  17. saidoo25

    Lucas Mwashambwa waulize wakubwa haya maswali watusaidie majibu

    Lucas mwashambwa pamoja na mazuri yote ya Serikali unayoyatangaza humu, umeshawahi kujiuliza kwanini bei ya Mchele ifike 4,000 kwa kilo tatizo liko wapi na nani amesababisha hali hiyo ili iweze kushauri na kutuletea majibu. Waulize kwanini Kilo ya Nyama iuzwe 10,000 hadi 11,000 kutoka sh 5,500...
  18. N

    Kwanini huko Ughaibuni kama Marekani na Uingereza wasomi (Maprofesa na Madaktari) hawashoboki na siasa?

    Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax...
  19. LUS0MYA

    Ruhusa ya mikutano ya hadhara ni utashi wa watawala au imeshinikizwa na masharti ya wakubwa wanaotoa mikopo?

    Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa? Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
Back
Top Bottom