BREAKING;
Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq.
Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa.
Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo.
Pichani anaonekana...
Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi?
Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini...
Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa wote hivyo amekaa anasubiri kiama cha kuwamaliza Wayahudi, anasahau kila anachokitumia kimetokana na...
Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20.
Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20.
Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi.
N.B: Kama bado...
Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu.
Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU.
Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya...
Wakuu,
Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi.
Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
Mimi nikijana niliehitimu mafunzo yaufundi mekaniks mwaka jana.
Mwaka huu nwezi wapili nikapata kazi nashukuru imenipa uzoefu mzuri sana kwenye masuala yaufundi
Lakini sasahivi ofisi imefilisika kiasi chasisi mafundi kukosa hela nimejalibu kuomba kazi sehemu kazaa nimekosa
Nimeweka hakiba...
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt Ally Laay (wa pili kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) wakionyesha mkataba wa mkopo wa dola za Marekani milioni 150 uliowezeshwa na Benki ya Intesa Saopaulo na Benki ya Investec. Wa kwanza kulia ni...
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.
Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
Adui sio mtu ambaye yupo mbali, ni rafiki yako wa ndani wa toka nitoke, yaani mmeshibana sana ndio anakuharibia maisha. Leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu, ukija sikia unakufa kabisa. Wala huponi kwa dawa, sindano wala drip.
Kwa hiyo mlio na marafiki...
Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika.
Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania.
Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu
Hans Macha
Ernest Massawe
Arnold B.S Kilewo
Harold Temu...
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu.
Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ndio maana mahusiano hayastawi tena. Wapenzi wataanza mahusiano lakini baada ya muda mchache...
Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star TV, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."
Nukuu ya chanzo;
Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.