Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisajili ili kufaidika na fursa hiyo itakayopungizia gharama za uzalishaji.
Kupitia mpango huo wa ruzuku, mbolea zote za kupandia zinazofahamika kama...