Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent".
Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
Katika hotuba ya Mhe. Rais leo anasema watu wake walipenyeza sampuli za mapapai na mafenesi katika maabara ya Vipimo vya COVID-19. Ikagundulika vina Corona.
Hali hii inaweza kuleta athari mbaya kwenye soko la mazao haya!
Nawasilisha!
Habari wanajamvi,
Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri vipi mazao yao kwa kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Elimu ya matunzo ya mazao shamba bado dogo na bado...
CCM ni chama ambacho kimejitanabaisha kuwa ni chama cha wakulima na wafanya kazi hata nembo yake ni jembe na nyundo.
Mimi nachelea kuwaongezea kuwa ni chama cha wafanyabiashara pia.
Swali langu ni, je kwa miaka minne iliyopita ni kada ipi imefaidi zaidi na ccm kati ya Wakulima, Wafanyakazi na...
Serikali mkoani Lindi imekiri kua inadaiwa na wakulima wa korosho kiasi cha Bilioni 6.9 za wakulima wa korosho kwa msimu wa 2018/2019.
Wakulima hao ni wale serikali ilichukua korosho zao na kuahidi kuwalipa ila hadi sasa hawajalipwa.
Serikali inadai sababu kubwa ya kuchelewa kuwipa ni kutokana...
Awali ya yote, niipongeze TAKUKURU kwa namna wanavyoshughulikia wezi wa fedha na mali za vyama vya ushirika. Nimeona kule Kusini hasa zao la Korosho, wezi wakiamriwa kurejesha mamilioni ya fedha, Tabora nako nimeona.
Kwa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, kuna Vyama viwili vya SHIRECU (Shinyanga) na...
Aidha, Sh.74,084,700 za wakulima wa pamba waliokuwa wamedhulumiwa malipo yao na Vyama vya Ushirika vya Msingi (Amcos) katika wilaya za Magu na Sengerema, zimerejeshwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini hapa, Mkuu wa Takukuru mkoa wa Mwanza, Emmnuel Stenga, alisema Sh. milioni...
Hayo yalibainishwa na Meneja wa MAMCU tawi la Masasi, Joseph Mmole, alipokuwa akizungumza na gazeti hili, kuhusu malipo ya zao la korosho kwa msimu wa 2019/2020.
Mmole alisema zaidi ya kilo milioni 47.3 za korosho za wakulima wa vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) katika Wilaya ya Masasi na...
Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa.
Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
Zitto kabwe amefilisika sana. Maneno yake kuhusu upungufu wa chakula nchini hayana mashiko.
Bodi ya Takwimu (NBS) ndio wa kwanza kusema kuna mfumuko wa bei.
Benki ya Dunia (WB) ikasema umasikini umepungua nchini hivyo watu wanamudu gharama za kununua vyakula.
Aidha, ripoti ya Utafiti wa kina...
WAKULIMA wa korosho Mkoa wa Lindi wameuza korosho kwa bei ya juu ya Sh 2,825 na chini Sh 2,520 daraja la kwanza na pili kwa Sh 2,337. Kaimu Mrajisi wa vyama vya msingi ushirika mkoa wa Lindi, Robert Nsunza ameyasema hayo jana.
Alisema daraja la pili ilipatikana kwa chama kikuu cha ushirika cha...
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, aliagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Igunga kuwachukulia hatua za haraka wakulima wote wa pamba ambao wamekataa kung’oa miti ya pamba ya msimu uliopita.
Wakulima hao wamekaidi kufanya hivyo kwa madai ya kutaka kulipwa fedha zao za mauzo...
Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro ambayo hupata mvua mara mbili (bimodal) kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.