Umofya kwenu wadau humu ndani.
Twende kwenye maada ! Ni hivi wakuu mimi nipo huku Njombe na ningependa niwashirikishe juu ya uvumi wa bei ya zao tajwa hapo juu,kuna kikundi cha watu huku kimejitanabaisha kuwa ni taasisi(jina kapuni)kinapita kikiwahamasisha wakulima kulima zao la vanila wakidai...
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika.
Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA
Na Thadei Ole Mushi.
Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000
Kwa mwaka atapokea 132,000,000
Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000
Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
CCM ilipo asisiwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Ndio maana nembo yake kwenye bendera kuna nyundo kwa wafanyakazi na jembe kwa wakulima.
Filosofia ya CCM ni ya kiujamaa pamoja na kuukaribisha uchumi wa biashara huru.
Siku hizi ndani ya CCM hakuna Political Theorists wa kuelezea mlengo...
Kwa jina la jamhuri,
Wakuu hivi kama nina kiwanja naona kimekaa sehemu nzuri naweza kukifanya kiwe soko? Yaani hapo kati nijenge au niwape watu wajenge meza za kuweka mambo ya mbogamboga, nafaka na vyakula vingine halafu pembeni nijenge furemu kuzunguka. Kama tu yalivyo masoko mengi.
Hapo...
Kwa muda mrefu nimekuwa naona kama CHADEMA kikiwa ni chama cha kimjinimjini sana. CHADEMA sijawahi kukisikia kikitetea mkulima wa Tanzania kwa nguvu nyingi, sijawahi kukiona kikitumia muda mrefu kuelezea sera zake juu ya kilimo. Ukulima ndiyo kazi ya watu wengi nchi hii lakini CHADEMA iko mbali...
Ni wakulima wa matunda,kuanzia maembe mpaka machungwa mpaka mananasi ,kwa kweli tunapata hasara kubwa sana ,tunachohitaji ni kama ipo wizara au waziri wa kilimo,mpatie safari za nje aend huko kutembelea masoko kwa maana ya sokoni au hata kwenye suprmarket zile kubwa kubwa.
Ninachokiona kwa...
"Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
Kilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima.
Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia la serikali la mahindi kwa Mikoa inayozalisha kwa wingi kama, Ruvuma,Rukwa na Mbeya ni TSH...
Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo.
Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo.
Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya.
Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya.
Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
Habari wapendwa kumekuwa na sintofahamu ya uvunaji miwa Kilombero, bila rushwa hutoi miwa yako na hii ni kutokana na uongozi kutokuwa na usimamizi wa kutosha hasa inapofika kipindi cha uvunaji na nimegundua wanafanya hivyo makusudi ili kuweka mianya ya rushwa kwa wakulima.
Mfano kama viongozi...
Maelfu ya wakulima wamekuwa wakiandamana kudai mageuzi katika sekta ya kilimo wamepigana na kulazimisha kuvuka kizuizi cha polisi na gesi za kutoa machozi kuingia katika eneo la kihistoria la Delhi -Red Fort
Walikua wakiandamana kwa miguu na wengine wakiwa ndani ya matrekta wakiwa ni sehemu ya...
Maandamano ya wakulima yanayoendelea nchini India hasa hasa jimbo la Punjab yamepelekea minara ya simu ipatayo 1500 kuharibiwa. Uharibifu huo ni kwa kuiba majenereta yanayoendesha mitambo hiyo na kukatwa kwa nyaya za mawasiliano zinazoiunganisha na minara mingine.
Katika moja ya video...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishughudia wakulima wengi wa greenhouse wakipata hasara au kutokupata mavuno bora kama walivyotegemea, kuendelea kutumia madawa ya kuuwa wadudu kwa kiasi kikubwa kama wanalima nje, joto kuwa kali ndani ya banda na kuharibu mazao, yaani wengi wamekata tamaa na...
Japo kwa miaka mingi Tanzania tunajisema kilimo ni uti wa mgongo, ukweli ni kwamba wakulima katika nchi hii ndio kundi la mwisho kukumbukwa na serikali. Tunafanya maendeleo ya mijini, kununua ndege, kujenga flyover nk, vitu ambavyo havimgusi sana mkulima wa kule kijijini.
Wakulima wanaishi...
Kwa siku kadhaa magaidi ya boko Haram waliishi, kufanya kazi na kula pamoja na wakulima hawa wa mchele kwasababu nao walijifanya waajiriwa.
Ilipofika alasiri jumamosi iliyopita ghafla wakatoa bunduki zao kuwakusanya na kuanza kuwachinja.
Endelea kusoma
This was the nightmare recounted by...
Amnesty International tawi la Nigeria inaripoti kuwa wakulima 43 wa Kijiji cha Maiduguri kilichopo Jimbo la Borno.
Wakulima 43 wa Jimbo la Borno, Nigeria wamechinjwa katika mashamba ya mpunga, Zabarmari na kikundi cha Boko Haram
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameonesha kusikitishwa na...
NITAHAKIKISHA WAKULIMA WA PAMBA WANALIPWA FEDHA ZAO"PROF. LIPUMBA"
MASWA, SIMIYU
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha wakulima wa pamba wanapata fedha zao kwa wakati.
Pia, Prof.Lipumba amesema atasimamia kwa...
Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.