Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza, atahakikisha wakulima wa viungo na karafuu wanakuwa huru kuuza mazao yao sehemu yoyote wanayotaka duniani.
Maalim Seif aliyaeleza hayo katika Kijiji cha Konde, Wilaya...
Salamu wakuu.
Ni mara kadhaa nimelima pasipo kupima PH soil, sasa nataka kujua nyie wenzangu Kama huwa mnatest soil kwa kipimo hicho ili nijue na Mimi ni wapi nitaipata huduma hiyo.
Lakini pia nishawahi kusikia Kuna vifaa vya 3 in 1 ambavyo hufanya kazi hiyo na hapa ningependa kujua...
Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu ardhi kubwa sana ya mkoa wa morogoro kumbe inahodhiwa na viongozi wakuu wa nchi wastaafu.
Lissu amesema...
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Wasalaam.
Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa CCM ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema.
Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya...
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza...
Dodoma, Tanzania
MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE
Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii, tufikirie hali ya mfugaji na mvuvi katika nchi hii.
Wakulima hawa wana umasikini mkubwa wakati...
Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP) Seif Maalim Seif amekuwa wa kwanza kufika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuchukua fomu ya kuwania Urais kwaajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea mwenza wake ni Rashid Ligania.
Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi
Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019.
Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea na kukagua shughuli za utendaji kazi...
Hii nchi tunapambana sio mchezo, shukrani za dhati ziwafikie wanaotafuta haya masoko maana hali inazidi kunoga kwa wakulima wetu.
Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic.
Data from the...
Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. 😂😂😂😂 Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania?
Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? 😂 😂 😂
Haya oneni pia...
Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho.
Said aliyechukua fomu katika ofisi za chama hicho zilizoko Mwera, amesema iwapo atapata ridhaa hiyo atazingatia suala la amani na utulivu sambamba...
Habani wana JF
Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii!
Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
Habarini wa JamiiForums na wakulima kwa ujumla,
Ningependa kufahamiana na wakulima wenzangu waliopo Mwasonga-Kigamboni ili kuweza kutembeleana kujifunza zaidi.
Wakulima Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuelekeza ununuzi wa mazao yao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.
Pongezi hizo walizitoa mwishoni mwa wiki wakati wa ulipwaji wa fedha zao baada ya kuuza choroko kwa njia ya stakabadhi ghalani katika Kata ya...
Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa.
Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama.
Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika.
Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
Katika siku za usoni, chakula kitakuja kuwa ndio nyenzo muhimu ya nguvu la taifa husika, taifa lenye chakula cha kutosha na cha uhakika ndilo litakuwa na sauti nguvu ya maamuzi. Kwamba atakaeleta ubishi basi ananyimwa chakula, na hapo hapo anarudi kwenye mstari.
Sasa basi, kwakuwa changamoto...
Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.