wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. May Day

    Hivi kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwataka Wakulima wapande mazao ya muda mfupi ndio imetosha?.

    Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani. Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage. Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
  2. Nyankurungu2020

    Huko nyuma CCM ilikuwa mali ya wakulima na wafanyakazi, leo kimegeuka kuwa mali ya wanaCCM wanaounga mkono ufisadi na kuwona Watanzania mabwege

    Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact. Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu. Uongozi ndani ya CCM ulikuwa sio wa kurithisha mtu hata kama hana uwezo wa kuwa kiongozi. Leo hii kuna wanaCCM walirithishwa...
  3. Lycaon pictus

    Wakulima hawapaswi kusherekea sherehe za Uhuru Desemba 9

    Wakulima wanahali mbaya kuzidi hata enzi za mkoloni. Uhuru wao bado kufika. 1. Wakati wa mkoloni kulikuwa na bodi za mazao, lengo lake ilikuwa ni kupanga bei na kumnyonya mkulima. Tulipopata uhuru zikaendelea na kuwekwa kitu kingine kinaitwa vyama vya ushirika. Hivi vinanunua mazoa kwa bei ya...
  4. L

    FOCAC yanyanyua wakulima wa Afrika kimapato na kuondokana na umasikini

    Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), umemalizika hivi karibuni mjini Senegal, Senegal. Mkutano wa mwaka huu ni muhimu sana kwasababu umeonesha hatua kubwa zilizopigwa katika miongo miwili tangu mkutano wa kwanza ufanyike mjini Beijing mwaka 2000. Wakati ushirikiano...
  5. ngalelefijo

    Hali yazidi kuwa tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia Tsh. 140,000

    Habari za kazi Wana JF/wadau/wananchi? Huku kwetu DAP ni laki na elfu arobaini.140,000/=hivi kwa Bei hii kilimo kitafanyika mwaka huu? Hebu tupaze sauti, tuwasaidie wakulima hali ni Tete msimu huu.
  6. F

    Wakulima waelimishwe waache kuchoma mabaki ya mazao wakati wa kuandaa mashamba

    Kumekuwa na utamaduni wa kale wa wakulima kuchoma mabaki ya mazao kwa kigezo Cha kujiandaa na msimu mpya wa kilimo. Mabaki hayo ni pamoja na mabua, magunzi na hata nyasi kavu. Hii ni MBOLEA YA MBOJI au composit Manure. Inarutubisha udongo hapo baadae na kupunguza umri wa aridhi yako kuchoka au...
  7. L

    Wakulima wa Afrika wafaidika na upendo wa wachina kwa tofu

    Na Tom Wanjala Tofu inayotengenezwa kutokana na maharagwe ya soya inapendwa sana na wachina, ni chakula kinachopatikana kwa rahisi na chenye faida nyingi za kiafya mwilini, na upendo huo wa wachina unaifanya China kuingiza kwa wingi maharagwe ya soya kutoka mataifa ya duniani. Jua la utosini...
  8. Ndenji five

    Rais Samia fanya mpango utupunguzie wakulima huu mzigo

    Pole na hongera kwa kutimiza majukumu ya nchi. Mheshimiwa rais kilio chetu wakulima ni kile kile. Pembejeo zipo juu sana mama hasa mbolea na inazidi kupanda kila kukicha mpaka kufikia sasa. Urea imefikia laki na elfu ishirini. Mama hii ni bei kubwa sana kwetu wakulima wadogo. Mheshimiwa...
  9. M

    NMB acheni kutuibia wakulima wa korosho

    Wakuu,, Nina Hasira kwa kiwango Cha PGO huwezi amini. NMB nyie Ni wachamungu wezi na Kama wezi wengine tu ...licha ya kuwa na wateja wengi. Ipo hivi kwenye mabango ya malipo ya korosho huwa mnapunguza pesa kiwizi Sana huwa mnashirikiana na makatibu au mmeamua kujiongeza KUTUIBIA WAKULIMA. Mfano...
  10. Red Giant

    Ni nini faida ya vyama vya ushirika kwa wakulima Tanzania?

    Habari wakuu. Naomba kujua faida za vyama vya ushirika kwa wakulima hapa Tanzania.
  11. F

    MIKOPO KWA WAKULIMA NMB

    Wanajukwaa nimeskia kuwa kuanzia tar 15/10/2021 Nmb wataanza kutoa mikopo kwa wakulima wafugaji na wajasilia Mali Ninachotaka kujua je kwa mfano mkulima na mfugaji ni vigezo (masharti) gani anatakiwa kutimiza ili apewe mkopo huo. Msaada jamani
  12. M

    Wakulima jifunzeni kula mazao mnayolima

    Kuna msemo kuwa. Unakula usichozalaisha, na unazalisha usichokula! Juzi nimeshangazwa na majibu ya Mkulima mmoja wa Dengu aloponiambia kuwa hajui dengu zinliwaje!? Hiini baada ya mimi kumuuliza bei ya dengu kwa kuwa nilijuwa nahitaji Kama Kg 20 kwa matumizi ya nyumbani. Tafadhalini wakulima...
  13. Ramon Abbas

    Kwenu wakulima wa Tikiti: Je hii hesabu ni sahihi kwamba eka 1 unapata milioni 8 net profit?

    Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja. Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah kuhusu upatikanaje wa faida ya tikiti kwa eka 1.
  14. mgt software

    Waziri Prof.Mkenda, umekwepa Maswali Bungeni unatuachia hatari wakulima wa Vanilla nchini

    Wana JF. Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na wakulima, yeye jinsi alivyojibu unaweza Ukakaa chini ukalia. Yale matatizo wapatayo wakulima wa korosho...
  15. J

    Bashe: Serikali itawalinda wakulima kwa gharama zote

    BASHE : SERIKALI ITAWALINDA WAKULIMA KWA GHARAMA ZOTE Tanganyika, Katavi. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameweka wazi msimamo wa serikali juu ya kuwalinda wakulima nchini kufuatia muingiliano wa kisekta wa mara kwa mara ambao husababisha wakulima kubeba mzigo mkubwa zaidi wa gharama...
  16. Tony254

    Wakulima wa chai huko India wanalia kwamba chai kutoka Kenya ina bei ndogo kwa hivyo inawafanya kukosa biashara

    Hehehe. Nyang'au sisi hatutambui chochote linapokuja swala la biashara. Tunafinya mpaka Wahindi wa huko India. Wakulima wao wanalia kwamba chai kutoka Kenya inauzwa bei ya chini na kuwaharibia biashara. Wanataka serikali yao iingilie kati. Hehehe waendelee kulia tu, sisi tutaendelea kuwafinya...
  17. Political Jurist

    Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini

    ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia...
  18. A

    SoC01 Serikali ifanyie kazi kilio cha wakulima nchini

    Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ni wakulima lakini wengi wao wanafanya kilimo cha kujikimu wakati...
  19. ndenjii handsome

    Serikali fungueni mipaka wakulima wauze wenyewe mahindi, NFRA inawanufaisha wachache

    Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi. Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo. Dah nilichokutana nacho tajiri atabaki kuwa tajiri nae maskini atazidi kuwa maskini hasa kwenye nchi zetu za Kiafrika...
  20. Jo Africa Tz

    Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalam wafanyao kazi

    Kwa maana jinsi hii... Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
Back
Top Bottom