wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Tusipunguze kodi kwenye mafuta ya kula tuwawezeshe wakulima kuzalisha alizeti kwa wingi bei itashuka yenyewe

    Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
  2. Wakazi wa Mishamo waomba serikali iingilie kati migogoro ya kila wakati kati wakulima na wafugaji

    Wananchi wa kata ya bulamata, pamoja na kata za jirani zilizopo Mishamo mkoani Katavi kutoka wilaya ya Tanganyika wameomba serikali kuingilia kati migogoro iliyopo kati ya wakulima na jamii ya wafugaji.k Wananchi wa vijiji hivyo wamesema kuwa jamii ya wafugaji wamekuwa na idadi kubwa ya Mifugo...
  3. V

    Kwako Waziri Bashe: Je, mpango wa kuwakopesha wakulima fedha za kuendeshea shughuli za kilimo kupitia Mfuko wa Pembejeo upo kama ulivyotuaminisha?

    Salaam aleikum! Nitumie fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Nikiri kwamba Wizara ya Kilimo imekuwa na mawaziri wengi, lakini wewe, umekuwa tofauti kwa uchapakazi wako. Maono na mipango ya Wizara unayosimamia unawagusa wakulima wa ngazi zote hususan wa ngazi ya chini na kati...
  4. Ukosefu wa Mbinu za Kibiashara bado ni tatizo kwa Wakulima kufikia masoko Nchini

    WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa kuyafikia masoko na kupelekea kukosekana kwa uhakika wa uendelevu wa biashara za mazao ya kilimo kwa...
  5. L

    Miradi ya ushirikiano wa kilimo ya China inainua wakulima wadogo barani Afrika

    Na Tom Wanjala Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
  6. Mnawaona wapi wakulima wa pamba na alizeti msimu huu

    Habar Wana Jf, This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta, Nazungumzia Cooking oil. Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa kwenye bei wanazopewa na wawekezaji , lakini wazo langu kwa sasa lmefitika kwani Hawa jamaa Nawaona...
  7. Wakulima, wavuvi na wafugaji walitakiwa kuwa ndio matajiri hapa Tanzania ila ndio wamekuwa masikini

    Inauma sana kuona sekta nzima kilimo,uvuvi na ufugaji kuwa sehemu inayotumika vibaya sana na kuachwa nyuma sana hapa kwetu. Kitu kinacho niumiza ni pale tanzania ina umiliki mkubwa wamaeneo ambapo asilimia kubwa inashikiliwa na wakulima sana na wafugaji. Kitu kilichonifanya kueleza haya ni...
  8. Health, Safety, Environmental And Social Officer at Wakulima Tea Company Ltd

    Position Title: Health, safety, environmental and social officer- (1 post) Term of contract: Permanent Responsibilities: The HSE and Social Officer reports to the Operations Director and is responsible for the environmental and social management of the company by establishing and...
  9. B

    Waziri Bashe, Kilimo hakihitaji maafisa wa serikali walio committed, kinahitaji ushiriki wa wanasiasa na matajiri

    Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari kwenda Kwa Mhe. Mkubwa wa nchini kulitolea ufafanuzi, tunafahamu nguvu watakayotumia akina Zitto...
  10. Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

    Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele. Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi. Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Hakikuwa mali ya...
  11. Wizara ya Kilimo yashirikiana na JKT kumaliza tatizo la mbegu kwa wakulima

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Machi 24, 2022: “Tutashirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali, ili kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mbegu bora. “Lengo letu ni kumaliza tatizo la...
  12. ARUSHA: Maonesho ya Kimataifa ya TANZFOOD, fursa muhimu kwa wakulima

    Na Joseph Ngilisho Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amefungua maonesho ya kimataifa ya kilimo yanayojulikana Kama ‘TANZFOOD Expo’ katika viwanja vya magereza, na kuwataka wadau wa kilimo na wafugaji kuyatumia maonesho hayo kama fursa ya kujifunza na kutangaza bidhaa zao Kimataifa. Akiongea...
  13. Ndugu wakulima ninapata wapi mashine ya kukatia mpunga?!

    Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
  14. Wakulima Songea waililia Serikali kwa kupanda Bei ya mbolea -24/02/2022

    Katika utafiti nilioufanya leo hii tar. 24.02.2022 Bei za mbolea zimepanda Mara dufu lakin kwa bahati mbaya serikali hadi sasa ipo kimya huku ikijua wazi kuwa Ruvuma-Songea ndio mikoa inayozalisha kwa wingi zao la mahindi kiasi Cha kuweza kusaidia Tanzania kuwa na akiba ya chakula. Leo Bei za...
  15. I

    Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

    Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
  16. Mbolea bora na utengenezaji wake ni rahisi pia

    Moja ya changamoto inayowasumbua wakulima wadogo, kati na wakubwa ni upatikanaji wa mbolea bora. Lakini bado hata zile zinazotumika kwa wingi ni zile ambazo mazao yanayopatikana kutokana nazo hayana ubora kimataifa. Ipo haja ya kuanza kuzalisha mbolea bora za asili kutokana na mimea + wanyama...
  17. Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Sisi ni wakulima tunaozalisha kwa mkataba kwa makubaliano na wakala wa mbegu za serikali yaani agricultural seed agency (ASA) yenye makao yake mjini Morogoro na matawi mikoani. Msimu wa kilimo wa mwaka 2021 tulifanikiwa kuzalisha mbegu na kuwauzia ASA kwa mujibu wa mkataba. Katika hali ya...
  18. Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake. Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi. Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi...
  19. Wakulima wetu mjiongeze, KFC wamekubali kununua viazi kutoka kwa wazawa

    KFC ni kampuni makini sana kwenye suala la kuhakiksha ubora, hivyo hawanunui malighafi kiholela, wanakagua sana viazi na wamekubali wataanza kununua kutoka kwa wakulima wetu, ila lazima tukidhi vigezo, maana kwamba enzi za kufukia mbegu na kuvuna vimepitwa na wakati, inapaswa tuanze kuhusisha...
  20. M

    Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…