Tangu upite uteuzi wa Wakuu wa Mikoa hakuna kinachofanyika huku kwenye Halnashauri.
Kauri yako uliyoitoa wakati unawaapisha wakuu wa mikoa ya kwamba " zege halilali ,hii itaenda hadi chini" umesababisha viongozi hao ku-relux na kutofanya kazi.
Wapo wanaosema mama unaingiza watu wako ,hivyo...
Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua
https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
==
SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI.
Na Mwandishi Wetu, Sikonge
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kwenda...
Waziri wa maji, Juma Aweso amewataka wakurugenzi wa mamlaka za maji kutoa huduma ya maji kwa wananchi badala ya kuwabambikia watu bili za maji.
Waziri Aweso ameyasema hayo leo mkoani Njombe katika ziara ya Rais Samia Suluhusu Hassan ambaye yupo mkoani humo kikazi.
Aweso amesisitiza kuwa maji...
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo?
Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kumteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), leo nimewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Shirika hilo:
1...
CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.
Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.
Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa...
Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara hiyo imewaondoa kwenye nafasi zao wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) kutokana na malalamiko yaliyokuwa yakitolewa.
Waziri Ummy amesema hayo jana Jumatatu Mei 16, 2022 jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kwa wizara hiyo...
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
====
"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.
Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Thread hii, inatokana na baadhi ya teuzi za wakurugenzi wa TANESCO na MSD kutoka nje ya mfumo. Nina declare interest kwamba sina shida na teuzi ya MSD. Ni mmoja wa colleagues tuliyekuwa tukifanya naye kazi nje ya mfumo. Ninaamini anastahili, na ataweza.
Tatizo linatokea hapa.
1. Hivi inakuwaje...
Wanajamvi habari za usiku,
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari nyumbani kwangu na rafiki ambaye amenitembelea, nikaona taarifa ya walimu kuandamana kutoka jijini Mwanza wakimlalamikia mkurugenzi juu wa malipo yao ya kazi ya kukusanya taarifa za anwani za makazi. Nikashangaa inawezekanaje...
Walimu wawili wakifundisha katika jengo moja lenye wanafunzi wa madarasa tofauti, la pili na la tatu katika Shule ya Msingi Ifua, Kitongoji cha Ifua wilayani Kilolo, mkoani Iringa
Jengo lenyewe choka mbaya, limejengwa kwa matope, hamna Cha sakafu Wala Nini! Ni Kama karne ya 17 duuh!..
Wakurugenzi wa tume ya uchaguz Tanzania nadhani Kuna mnapaswa kuendelea kujitafakari; hakuna namna nchi itakuwa na maridhiano mkiwa ofisini kwa sababu ninyi ni Moja ya Watu waliotumika vibaya kutweza utu wa Watanzania 2020.
Mzee Warioba anaposema mbele yenu Kwamba ni mwaka 2020 ndipo wagombea...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya
Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
#Kaziiendelee
Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara.
Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya tatizo kwa maana ya kuwachongea wakuu wa Idara ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa interest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.