Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19.
---
Rais Samia Suluhu Hassan...
Rais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio (probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022.
Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale...
Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa.
Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake.
Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla.
Hebu chota busara hizi kutoka kwake
Habari za wakati huu;
Kwanza kabisa nitanguliza shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa neema zake.Leo nataka tuzungumzie issue ya BODI ya kampuni na umuhimu wake.Kampuni nyingi private huwa zinafeli kwa sababu ya kuwa na BODI(BOARD ambayo ni pungufu)
Ni muhimu kwa mmiliki kwa mjumbe wa bodi...
Napendekeza sheria ichukuwe mkondo wake na wala asiwepo wa kupona. Kila mmoja wetu anafahamu what happened October 2020 ambapo watumishi Hawa wa umma waliharibu mfumo wa uongozi na misingi ya demokrasia bila uoga wowote. Kwa kuwa makosa waliyotenda ni jinai basi hakuna aliye salama wote...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania
Anachukua nafasi ya Mhandisi Steven Mlote aliyemaliza muda wake. Uteuzi wake umeanza Oktoba 08, 2021
Serikali inajitaihdi sana kutoa mafungu mbalimbali ya fedha kwa ajiri ya maendeleo vijijini. Bahati mbaya zile hela mara nyingi vijiji huingiziwa na serikali bila ya kutoa muongozo wa matumizi. Serikali inaamini vijiji vina matatizo mengi, nikweli vijiji wanahitaji fedha nyingi kukamilisha...
Waziri Ummy Mwalimu: Kwa sababu Mhe.Rais ananipima kwenye ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha za mapato ya ndani, na mimi Mhe. Rais nimewaambia (Wakurugenzi) nitawabana, sitakubali mimi nitumbuliwe wakati wao wapo na wanachezea fedha za wananchi".Waziri Ummy Mwalimu
=> Wakurugenzi wote...
Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley".
Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
Ni takribani miezi miwili na nusu tangu Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano liliopotisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2021/2022 ambapo na mambo mengine lilipisha watendaji wa kata kulipwa posho za madaraka na Halmashauri na malipo hayo yakawekwa kwenye mabaadiliko (Ammendement) ya...
Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi!
Hii hali haikomi?
Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Bima la Zanzibar(ZIC). Amemteua Ramadhani Mwalimu Khamisi kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo.
Pia Rais Mwinyi ameteua Balozi Amina Salum Ali kuwa mwenyekiti wa bodi ya Takwimu Zanzibar. Salma Haji Saadat ameteuliwa kuwa...
Sina tatizo na suala la kuwa na Katiba mpya, lakini tatizo langu ni kuona watu wakidhani Katiba mpya ndio suluhisho la matatizo ya kisiasa nchini. Huko ni kupotoka. Nchi kama Marekani wana katiba ya kidemokrasia sana, lakini leo wanalia Trump na kundi lake kufanya mambo kihuni tu na kwa mabavu...
Kwa miaka mingi tangu Tanzania ipate uhuru wa bendera haijawahi kutokea kiziwi akapata nafasi katika uongozi , iwe
Ubunge, Udiwani, Umeya, ukuu wa wilaya , Ukuu wa Mikoa, Katibu tawala na hata Ukurugenzi. Katika teuzi za wakurugenzi za Rais Samia hatujaona akiwakumbuka walemavu wa uziwi...
ccm
chato
debe
halmashauri
katibu mkuu
katibu mkuu uvccm
manispaa
mitandaoni
mkuu
rais samia
samia
tanzania
teuzi
uteuzi
uvccm
wakurugenziwakurugenzi wa halmashauri
wapiga debe
wilaya
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine.
Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja...
Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama.
Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.