Wamekimbia vituo vyao, wamejazana Dodoma eti wanasema wanapigana ili warudi. Vituo vingi vinakaa bila watu, kazi hazifanyiki.
Wapo huko wanaingaikie teuzi
Mh. Rais, umekamilisha teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya. Na sasa bado nafasi za wakurugenzi wa Halmashauri, miji, manispaa na majiji.
Teuzi zilizotangulia, zilikuwa ni teuzi za ulaji na shukrani kwa sababu kimsingi wakuu wa wilaya na mikoa, tangu enzi za mkoloni, walitumika kama vikaragosi wa...