walimu

  1. The Watchman

    Walimu Hisabati na kiingereza wapewa mafunzo Dodoma

    Katibu Tawala Msaidizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mkoani Dodoma, Vincent B. Kayombo, amefungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu wa Kiingereza na Hisabati katika wilaya ya Kondoa. Mafunzo haya yameandaliwa kwa ushirikiano na Mradi wa Shule Bora, unaolenga kuboresha elimu nchini. Kayombo...
  2. Waufukweni

    Mawaziri Simbachawene, Mkenda wakutana na Viongozi Walimu wasio na Ajira (NETO), wasema 4R za Rais Samia zimewawezesha kukutana na Serikali

    Wakuu Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujadili hatua za kutatua changamoto ya ajira kwa walimu. == Mwenyekiti wa...
  3. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Serikali ya rais Samia tulionayo ni sikivu inasikiliza kero za walimu

    Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa...
  4. S

    Walimu Busega wachachamaa,wampa notisi ya siku 90 Maiko Kachoma (Mkurugenzi,Busega) wasema lazima Haki ipatikane

    Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega wameamua kugeukia Mahakama ili kudai haki yao baada ya Mkurugenzi wao, Ndugu Maiko Kachoma, kukaidi matakwa ya sheria na kupuuza maombi yao. Walimu hao, zaidi ya 150, wamempa notisi ya siku tisini kuhakikisha kuwa amekamilisha mchakato wa kuwatoa katika...
  5. M

    Walimu wa shule za msingi mna shida gani?

    Walimu wa shule ya msingi tulizeni vichwa mnapokuwa mnafanya usajili wa watoto kwenye mifumo ya serikali. Wakati wa usajili mathalan Darasa la kwanza au darasa la nne huwa mnatuagiza tulete vyeti vya kuzaliwa vya watoto ili kuepusha mpishano wa majina au herefu kwani mtoto anaposajiliwa darasa...
  6. The Watchman

    Walimu Nchini Watakiwa Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT

    Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Mikoani Arusha Yenye Lengo La...
  7. Wilson Gamba

    Kwa kizazi hiki wazazi tuna kazi kubwa

    Kwanza niwape pole walimu na pia wale wote waliohusika hadi kutufikisha hapa na kutupa uelewa kupitia wa elimu.Miaka ya 90 watu walisoma wakubwa lakini walikuwa watiifu sana wa kufata maelekezo na pia adabu kwa wakubwa lilikuwa si ombi bali ni lazima uliweza adhibiwa na yoyote ili miradi...
  8. Career Mastery Hub

    Je ni sawa walimu au wahitimu kujiajiri au kwenda Veta kwa sasa?Ungana nami

    UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU! Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe. Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
  9. Baraka Sabi

    Walimu wasio na ajira; ushauri kwa Serikali

    WAKUU, AMANI NA IWE NANYI. Ni lengo la sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014 kuwa na Mtanzania aliyeelimika, mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa la Tanzania. Nikiri tu kwamba, Serikali imefanikiwa kuwaelimisha kwa kuwapa maarifa na stadi walimu...
  10. R

    Wahubiri wakristo, mitume, manabii walimu na kadhalika neno madhabahu msilitumie kutapeli watu

    Madhabahu ilikuwa ni mahali pa kutolea sada za damu katika agano la kale. Siku hizi wahubiri wakristo wakianzisha kanisa wanaita madhabahu eti watu walete pesa hapo. Huu ni wizi na watu wengi wajinga wasioijua hata hiyo biblia ndio wamejazana huko. Utapeli mtupu.
  11. Career Mastery Hub

    Tafakuri kuhusu mchakato wa ajira za walimu na matakwa ya NETO na ushauri wangu kwa serikali Tanzania

    UTANGULIZI Madai ya NETO kuhusu serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaajiri walimu wote wa 2015-2023, Kufuta usaili kwa kada ya elimu yanaonesha presha kubwa kutoka kwa wahitimu wa elimu na maumivu ya mchakato wasasa. Presha hii ni ujumbe wa wazi kuwa watu wengi wanahitaji ajira na...
  12. Riskytaker

    Ajira za walimu zilikua 14,000 wameajiri 6000 halafu wamekaa kimya takribani siku 7 hakuna kinachoendelea

    Serikali imekuwa ikitangaza ajira lakini mara kwa mara matokeo hayalingani na ahadi. hii ni kwakada zote Hivi karibuni, tumeshuhudia uajiri wa walimu 6,000 badala ya 14,000 waliotarajiwa, bila maelezo ya kina kuhusu upungufu huo. Hii ni dalili ya ukosefu wa uwazi na kutowajibika kwa wale...
  13. Nyendo

    DOKEZO Jengo la Walimu katika Shule ya Msingi Nsololo (Tabora) lililoezuliwa paa limetelekezwa mwezi wa pili sasa

    Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji, nguvu ndio zimeniisha kabisa. Nimeambiwa huu sasa ni mwezi wa pili na nusu kuna jengo la Walimu katika...
  14. T

    Pre GE2025 Dtk. Biteko awataka walimu wasijione duni waeleze shida zao, ataka pia wasikilizwe wakiwasilisha shida hizo

    “Walimu semeni shida zenu na wakati wote msijione duni, oneni namna Serikali inavyoweza kutatua changamoto zenu. Nataka niwakumbushe Watanzania kuwa ninyi ni nguzo ya taifa letu, zoezi hili linamfanya mwalimu mwenyewe kukutana na watoa huduma Serikalini ili kujua nini kitafanyika juu ya...
  15. The Watchman

    SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  16. 1Afica54

    Kumekuwa na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali cha ajira Mwaka 2024 hadi leo 2025

    Habari wana JAMIIFORUMS Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea PSRS wameita baadhi ya walimu wa masomo ya physics, mathematics and English lakini kumekua na...
  17. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  18. dorge

    Ukosefu wa ajira sio walimu pekee

    Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa. Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea. Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu...
  19. The unpaid Seller

    UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: Tayari LBL kimewalamba

    Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena. Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha...
  20. Eli Cohen

    Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
Back
Top Bottom