walimu

  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Hii serikali haina pa kupeleka vishkwambi wanawatupia Walimu

    Habari! Niliposoma habari ya vishkwambi kupewa walimu ili wakakuze TEHAMA nimeendelea kuwahurumia hawa watumishi ambao wamegeuzwa mpira wa Kona. Hiyo TEHAMA itakua vipi kwa kutumia vishkwambi? Serikali isikwepe majukumu yake, wanunue vifaa kamili vya kukuza TEHAMA kwa wanafunzi.
  2. JanguKamaJangu

    Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
  3. P

    SoC02 Chama Cha Walimu Tanzania Anzisheni Chuo Kikuu cha Walimu na Bodi ya Walimu Ili Kuondoa Upungufu wa Walimu na Kuthibiti Ubora wa Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi chenye sifa pekee zifuatazo kulinganisha na vyama vingine vya wafanyakazi nchini Tanzania: Ndiyo chama chenye wanachama wengi kuliko vyama vingine vyote vya wafanyakazi Tanzania; Ndiyo chama ambacho wanachama wake wote ni wasomi...
  4. M

    Waziri Mwigulu wagawie fedha za tozo Walimu Hassanal Damji Bagamoyo wajenge choo

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa. Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya...
  5. M

    Kwanini kujiendeleza kwa walimu hukuleti tija ya kuinua ubora na kiwango cha elimu?

    1. Nianze hoja kwa kuomba wahusika na wadau wa idara, kurugenzi na wizara wafanye uchunguzi ili wajiridhishe na kuthibitisha uhalisia wa swali hili. 2. Lengo la serikali kuwapa watumishi wake fursa ya kujiendeleza kimasomo (mafunzo kazini) ni kuweza kuongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa...
  6. J

    Waziri Bashungwa apiga marufuku walimu kupita kila ofisi ya halmashauri kutafuta huduma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri kutafuta huduma na ameagiza wapelekewe huduma hizo shuleni badala ya watoa huduma kufatwa Ofisini. Ametoa agizo hilo leo tarehe 8 Septemba...
  7. Mlalamikaji daily

    Pamoja na mishahara ya sasa ilivyo bado walimu waliishi maisha mazuri zamani kuliko sasa

    Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani. 1. Makazi/Nyumba za walimu zilikuwepo, walimu walikaa kwenye maeneo ya shule na hata kama hakukuwa na nyumba basi kijiji au...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
  9. Roving Journalist

    Bashungwa: Bilioni 55.57 kujenga nyumba za walimu kwenye maeneo yasiyo fikika kirahisi

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo ya mishahara pamoja na ulipaji wa pesa za pensheni kwa wastafu vikifanyika kwa wakati. Pamoja na...
  10. JanguKamaJangu

    Wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za Ubadhirifu wa fedha za Sakosi ya walimu Singida

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, imefunguliwa kesi Ecc.52/2022 . Washtakiwa ni Cladius Linusl na Leah Roman Mnyipanduka ambao kwa pamoja wanashtakiwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya ofisi, ubadhirifu na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha Tsh. 10,000,000/= mali ya...
Back
Top Bottom