walimu

  1. BARD AI

    Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  2. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  3. CK Allan

    Tunajenga Madarasa 8000 halafu Nyumba za Walimu 0, hapa kuna shida mahali...

    SERIKALI imetoa Sh bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyopokea ziada ya wanafunzi zaidi ya 400,000 wa Kidato cha Kwanza mwakani ambao ni zao la elimumsingi bila ada. Aidha, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Dk Charles Msonde ameelekezwa kufanyia kazi...
  4. JanguKamaJangu

    Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
  5. Mboka man

    Walimu wa masomo ya biashara tupeane connections ya kazi

    Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili vijana wanaotafuta kazi
  6. kamima

    Ajira za mkataba za walimu wa sayansi Ilala DSM

    Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi. Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
  7. A HUMBLE LEADER

    Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  8. JanguKamaJangu

    Walimu 14 Dar es Salaam wanashikiliwa kwa kukiuka sheria katika mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022. Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
  9. K

    Cheo kipya cha Muundo walimu wenye MASTERS

    Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree.
  10. Chizi Maarifa

    Baba alitaka kuniua Mbele ya Walimu na Wanafunzi wenzangu. Kama tu si Kuzuiwa...

    Nilikuwa nasoma kisa cha mtu flani humu nikakumbuka story ambayo nlishaielezea twitter kwa wadau wa huko. Miaka hiyo nlikuwa nasoma shule flani ya Sekondary Mkoa fulani hapa Tanzania. Unajua tena shule za Boarding na ujana nikiwa Kidato cha sita nikapata msala baada ya kukamatwa Namkamua binti...
  11. DodomaTZ

    Serikali iangalie walimu wanaosimamia somo la Utafiti (Research) OPEN University, kuna mmoja ipo siku kitamkuta kitu

    Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili yanaanza na Yusuph M, nasisitiza wawe makini na huyo jamaa. Umri wake bado mdogo lakini ana...
  12. M

    Tusiwatupie lawama Walimu wa Vyuo Vikuu. Mitihani ndio kipimo cha uelewa na namna mwanafunzi ataisadia jamii na Taifa lake

    Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa. Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa. Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu. Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane...
  13. BigTall

    Wazazi, Walezi na Walimu acheni kupiga watoto kama ngoma zama zimebadilika, kitawakuta kitu

    Umri wa wale ambao wamezaliwa kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma, kufika hadi miaka ya 80 na kuendelea huko nyuma, matukio ya mzazi kumpiga mtoto kama vile anapiga mwizi anaekamatwa mtaani ilikuwa ni kawaida. Yaani ilikuwa mzazi akikukamata kukupa kichapo ilikuwa ni kichapo hevi kinomanoma, hiyo...
  14. Nyanswe Nsame

    DOKEZO Walimu Walala ofisi ya Mkurugenzi Buchosa Mwanza, wakishinikiza malipo

    Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili. Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu. Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza...
  15. R

    Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

    Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo. Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
  16. N

    Mambo 10 yaliyofanywa na Rais Samia yanayowagusa Walimu na Jamii kwa ujumla

    Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita, tuangazie baadhi ya mambo; 1.Ujenzi wa Shule mpya za...
  17. C

    Upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi wilayani Kiteto

    Wilaya ya kiteto iliyoko mkoani Manyara, inakabiliwa na upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi hivyo Serikali na wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana kutatua changamoto hiyo, ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi. Chanzo: ITV
  18. beth

    Oktoba 5: Siku ya Walimu Duniani (World Teacher's Day)

    Siku hii inaadhimishwa kila Oktoba 5 kama ishara ya Heshima na Shukrani kwa Walimu kutokana na Mchango walionao katika Ustawi wa Wanafunzi, Jamii na Nchi kwa ujumla. Ili kuleta Mabadiliko katika Sekta ya Elimu, ni muhimu Walimu wasikilizwe, na mazingira yao ya kazi yaboreshwe. Bila Walimu Bora...
  19. R

    INAUZWA Inawahusu walimu au wamiliki wa shule tu.

    Habar wadau wa elimu. Kuna jambo hapa naomba ushirikiano wako. Hii ni kwa zile shule za sekondari sasa kuna maabara zile za masomo ya physics, chemistry na biology. Sasa kwenye hizi maabara kunatumika vifaa (apparatus) na kemikali mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi yaani...
  20. MK254

    Waalimu waombwa kutumia mishahara yao kutoa misaada kwa wanajeshi wa Urusi walio Ukraine

    Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita... Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine. A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to...
Back
Top Bottom