walimu

  1. The Watchman

    Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya...
  2. D

    Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote. Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM. Wana mastress...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Katimba: Serikali Imeendelea Kuchukua Hatua Kupunguza Uhaba wa Walimu

    MHE. KATIMBA: SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa...
  4. encyclopaedia Tanzaree

    MPYA Lissu kudhihaki walimu

    Je habari hii ina ukweli?
  5. T

    Walimu wasio na ajira (NETO) wasema Walimu wenye degree kulipwa 150,000 siyo haki

    Umoja wa Walimu wasio na ajira nchini Tanzania (NETO), umemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na Serikali, kuwasaidia Walimu hao kupata ajira na kuweka usimamizi madhubuti pamoja na kufuta mfumo wa usaili katika mchakato wa kutoa ajira. Uongozi wa Umoja huo...
  6. E

    Ajira za walimu Tanzania ni janga la Kitaifa

    Ndugu zangu habari zenu Kuhusu haya yanayoendelea kwenye ajira za ualimu ni uozo mtupu ,kwanini nasema hivi ● Huwezi kupata mwalimu bora kwa kufanya mtihani wa kuchagua tena kwa dakika 40 Kwa hiyo serikali imekosa imani na vyuo ambavyo vimepewa kibali na wao wenyewe kwa ajili ya kuzalisha...
  7. K

    WALIMU WASIO NA AJIRA WANAILALAMIKIA SERIKALI LKUHUSU KUKOSA AJIRA

    Walimu wasio na ajira tangu 2015 mpaka sasa wameanzisha umoja wao wakiilalamikia Serikali kwa nini wanakosa ajira ilihali mapato ya Serikali yameongezeka. Wameenda mbali na kufanya ulinganisho wa ukasanyaji wa mapato wakati wa Kikwete ambapo makusanyo yalikuwa madogo lakini karibu walimu wote...
  8. EricMan

    DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

    https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp "Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya sintofahamu ya ajira iliyopo kwa wahitimu kuanzia mwaka 2015 mpaka 2023." "Masuala ya usaili...
  9. The Watchman

    Pre GE2025 Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita

    Ziara ya kusikiliza na kutatua changamoto za walimu nchini (Samia Teachers Mobile Clinic) inayoratibiwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kushirikiana na serikali inatarajia kuwasili mkoani Geita Februari 25, 2025 na kumalizika tarehe 26 Februari ambapo lengo ni kusikiliza changamoto mbalimbali...
  10. VINICIOUS JR

    Walimu mwenye PDF ya mtokeo ya written interview ya Kiingereza

    kwema wakuu, kama mada inavojielza mwenye pdf naomba aweke hapa ili tujue tmepata ngap ingawa kwenye account nishakuta NOT SELECTED
  11. Mkalukungone mwamba

    Prof. Adolf Mkenda: Walimu endeleeni kujiendeleza hata kama hamna ajira ili kuwasaidia wakati wa usaili

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili. Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati...
  12. M

    Kwanini walimu wa economics hawajumuishwi kufundisha somo la business studies?

    Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la...
  13. A

    Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
  14. Kazanazo

    Napinga kwa nguvu zote baadhi ya member humu kuwaona walimu kama "special group"

    Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti...
  15. GANG MO

    Matokeo ya usaili wa somo la Geografia kwa walimu

    Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana. Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979 Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948 Na ambao hawajachaguliwa (Not selected) jumla ni 20,031 Ukuzidisha kwa idadi ya mikoa yetu 26 utaona kila mkoa wameitwa...
  16. VINICIOUS JR

    Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hiv?,

    Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hivI?
  17. ngara23

    Mgomo wa walimu hautakoma, tunaua watoto wetu

    Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge Walimu nao wamegoma Na mgomo haukutangazwa hadharani Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali 1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu Yaani walimu ikifika saa 4...
  18. BigTall

    Wazazi walalamikia walimu Ilala, kisa chakula cha shule

    BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi 1,500 ya gharama ya chakula na masomo ya ziada katika shule hizo. Wakizungumza...
  19. CARIFONIA

    Wazazi na walimu mnaweza kujifunza kupitia huyo mtoto!

    Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
  20. robbyr

    Kama usaili ndo huu basi si kigezo cha kupata walimu bora.

    Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500 Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini. Ila cha kushangaza ubora wa mitihani na upimaji ni hovyoo kabisa kwani sidhani kama watahitaji walimu...
Back
Top Bottom