walimu wa uganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule Tusiime yadaiwa kuajiri walimu wa Uganda, Watanzania kuondolewa

    Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo. Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Walimu ngazi zote kutakiwa kuwa na digrii, baadhi wataka Serikali kufadhili masomo kwani mishahara haitoshi kurudi shule

    Walimu kutoka baadhi ya maeneo nchini Uganda wameiomba serikali kufadhili elimu kwa walimu wote wa Daraja la III ili kuwawezesha kupata shahada za chuo kikuu. Wanasema kuwa mishahara yao ya sasa, ambayo ni midogo, haitoshi kugharamia masomo ya juu zaidi. Sera ya Kitaifa ya Walimu ya mwaka 2019...
Back
Top Bottom