Japo ni miaka mingi sijaonana na wengi wao, lakini ningali nikiwakumbuka sana.
Wapo walionifundisha shule ya Msingi, wengine Sekondari, wengine High School na wengine Chuo Kikuu. Wote hao ni walimu wangu na ninawaheshimu wote.
Kama ningetakiwa nitoe kipaumbele katika kuwaheshimu, ningeanzia na...