walimu

  1. R

    Jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule ni la nani?

    Wakuu, Nani ana jukumu la kuweka mazingira ya shule safi? Ni walimu, wanafunzi au watu maalum wa kufanya usafi? Shule hasa za serikali wanafunzi ndio huwa wanakuwa na jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule kwa kufagia uwanja, ofisi za walimu, kusafisha vyoo na hata wakipewa adhabu...
  2. F

    Walimu wa sekondari wanatafutwa, wa masomo ya Hisabati na Sayansi Biology, physics na Chemistry (Part time)

    Habari wadau. Binafsi ni mmiliki wa app ya kufundisha tution za masomo kwa njia ya mtandao Ninatafuta walimu wenye uwezo mkubwa wa kuelewa na kufundisha masomo ya o level. Na shule ya msingi somo la hisabati. Masomo hayo ni hisabati, physics, chemistry na biology only. Kazi ni part time...
  3. benzemah

    Walimu 1832 wa Madarasa ya Awali Wapata Mafunzo Kuhusu Utekelezaji wa Mtaala Mpya wa Elimu Nchini

    WALIMU 1832 wa madarasa ya awali ambao wameshiriki mafunzo ya Mtaala wametakiwa kuwa watekelezaji wazuri wa Sera iliyoboreshwa yenye kujumuisha mtaala mpya wa elimu nchini. Agizo hilo limetolewa leo Novemba 19, 2023 na Naibu Katibu Mkuu Or-TAMISEMI Dk.Charles Msonde wakati akifunga mafunzo ya...
  4. OC-CID

    Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

    Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM. Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
  5. M

    Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  6. JanguKamaJangu

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    Serikali ingilia kati huu upigaji wa billion 7.2 za Walimu

    Ni upumbavu mkubwa wa Hawa viongozi wa CWT wakiendelea kuwaibia walimu, naomba serikali isikae kimya juu ya Ili suala. Hiki chama hakina tija kwa walimu zaidi ya kuwanyonya na kuwanufaisha watu wachache wasiojielewa. Tokea 2017 chama kimekua na migogoro Mingi mno kwa sababu kuiba CWT imekua...
  8. BARD AI

    Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  9. mtwa mkulu

    Spika Tulia: Walimu waliosimamishwa kisa "honey" warejeshwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kuwarejesha kazini Walimu wakuu wa Shule za Msingi zilizopo Tunduma Mkoani Songwe waliovuliwa vyeo baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha Wanafunzi wakicheza wimbo wa Msanii Zuchu uitwao ‘Honey’. Spika...
  10. SHANTI

    KERO Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  11. Pang Fung Mi

    KERO Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  12. Cannabis

    Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  13. O

    Malezi duni na Ugumu wa maisha chanzo kwa wanafunzi wa kike kujirahisisha kwa walimu

    Wanafunzi wa kike wakisubiri usafiri jijini Dar es Salaam, wanafunzi wengi wamekuwa wakijichelewesha vituoni, huku wakidaiwa kuchagua mabasi ya kupanda. Picha na Sunday George Wakati uzoefu ukionyesha walimu kuwanyanyasa kijinsia wanafunzi wao wa kike, imebainika katika baadhi ya nyakati wapo...
  14. Mjukuu wa kigogo

    CWT Wilaya ya Bunda mnatia aibu sana; hata suala la madaraja ya walimu lilimhitaji Mbunge Chacha Maboto?

    Chini ni picha ya kiongozi wa mtandao wa CWT Bunda Grace Nyabugumba aka MC Mama Kubwa.
  15. Le professel

    Walimu tuna shida gani?

    Walimu hatunaga la kujiongeza!! Umewaambia watoto wa darasa la nne waje na chakula na pesa kwa ajili ya mtihani. Wamekuja mikono mitupu unawachalaza fimbo na kuwarudisha nyumbani ati rudieni pesa! Imenikera sana leo. Mkuu wa shule unakuwaje na akili za vitenge vya mwenge? Unajua walimu...
  16. A

    DOKEZO Walimu wa Shule ya Gisela (Ukonga) tuna hali mbaya, hatulipwi mishahara wala malipo ya NSSF

    Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi huu unaoenda wa kuwa wa 11, 2023. Sambamba na hilo tuna malimbikizo ya mishahara yetu ya nyuma tangu...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    Azam Tv kupita channel ya sinema zetu, wawaombe msahama walimu kwa kuwadhalilisha

    Nipo zangu home nimetulia naperuzi kutafuta channel nzuri ya kuangalia nikatua channel ya sinema zetu Azam Tv namba 103 wanaonyesha movie inaitwa simuulizi, Introduction kabla movie yenyewe kuanza. Picha inaanza mabinti wako kisimani wanateka maji, wakaanza kubishana kuhusu Mwalimu mkorofi...
  18. M

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana. Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka. Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka. Huenda ikatoka kesho tar 23...
  19. Roving Journalist

    Njombe: Mvua iliyoambatana na upepo mkali yaezua ofisi za walimu

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyoanza kunyesha majira ya saa tisa alasiri usiku wa kuamkia leo imeezua paa la jengo la utawala la ofisi za walimu na baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilaya ya Makete mkoani Njombe Mwalimu mkuu wa shule hiyo Enelika...
Back
Top Bottom