Habarini Walimu, heshima yangu kwenu haitokani na kuwajua kama Walimu kwa sababu nilifundishwa nanyi, au kama Mwananchi kusema naishi nanyi humu mtaani. Hapana, heshima hii inatokana na mimi mwenyewe Kuwa Mwalimu. Nimekuwa Mwalimu, si kwa kufundisha darasani tu bali kwa kusomea fani husika...