walinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  2. Roving Journalist

    Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  3. Eli Cohen

    Aisee, huyu mwamba sijui katokea wapi na anaelekea wapi haha, hata walinzi wamebaki kushangaa bila kumzuia haha.

    https://youtu.be/y1kmYqisApc?si=mIPdFfjf4Zaqg5lx
  4. N

    Walinzi wa Rais wa Liberia na maafsa usalama wa Tanzania nusura wazichape, msafara wasimama kwa muda, matangazo yakatwa

    Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
  5. Christopher Wallace

    Walinzi wa Rais Mwinyi wamenikumbusha enzi ya awamu ya tano huku bara

    Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
  6. The Palm Beach

    Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  7. snipa

    Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

    Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati yao walinzi na kutoa warning kwamba pita kushoto, hasa Kwa Wana Habari wanaorekodi. Mfano hapa...
  8. G

    Kampuni ya ulinzi ya Risk Insight iliyopo Masaki acheni kutunyanyasa wafanyakazi wenu (Walinzi)

    Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya...
  9. RWANDES

    Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

    Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale. Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi. Pili wabapoishi huishi na...
  10. Mwanongwa

    REB yatembelea Kijiji cha Keichuru - Kibiti, Wananchi watakiwa kutunza na kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme

    Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Wananchi hao wametoa pongezi hizo Disemba 1, 2024 wakati...
  11. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

    wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno. Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel...
  12. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  13. Q

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na mauaji, akiwemo kada wake, Ali Kibao. Hata...
  14. Ikaria

    Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  15. secretarybird

    DOKEZO Kondoa Girls High School waalimu wa field wamegeuka walinzi wa shule, usiku kucha hawalali

    Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika shamba la shule na mbaya zaidi watu wale wameanza kutembelea nyumba za waalimu ili kuiba chchote...
  16. Yoda

    Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  17. Kaka yake shetani

    Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko. swali la kujiuliza wao...
  18. GENTAMYCINE

    Hili nimeliona sana tu kwa Walinzi wa Majumbani sehemu mbalimbali je, ni sahihi Kiulinzi au wanahitaji Msasa zaidi?

    Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna Kuaminiana bado unamkuta kakaa pale pale Taa inammulika halafu Asubuhi ukiamka na Kukutana nae anakuambia...
  19. Mhafidhina07

    Kuelekea Kariakoo Derby nawashauri Simba watafute mganga mapema au wahonge walinzi mapema

    Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
  20. Mjanja M1

    Kitanzi chamng’ang’ania aliyeua walinzi wawili wa Kimasai

    Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, limebariki adhabu ya kifo aliyopewa mmoja wa mafundi waliokuwa wanajenga kituo cha kuuza mafuta Jijini Dodoma, Menroof Haule aliyewaua walinzi wawili wa kimasai. Hukumu ya kubariki adhabu hiyo imetolewa Februari 20, 2024 na majaji Augustine Mwarija...
Back
Top Bottom