Watu kadhaa wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali wamevamia maduka yanayofanya biashara za miamala ya kifedha katikati ya Mji wa Bariadi usiku wa kuamkia Juni 8, 2023.
Wahalifu hao wamevunja milango lakini wakashindwa kuvunja boksi za kuhifadhia fedha ambazo ndizo walikuwa...
Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu
Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
Taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa mfumo wa uendeshaji wa soko kuu la Bariadi hauko sahihi kwenye eneo la ulinzi pamoja na mazingira ya ufanyaji Biashara.
Kwenye taarifa yake kwa waandishi wa Habari iliyotolewa leo na Naibu mkuu wa taasisi hiyo Aron...
MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate katika sherehe za Mbio za Mwenge Temeke, amemshukuru Rais wa...
Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu.
Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu...
Hello!
Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine...
Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari?
Picha...
Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D.
Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana.
Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
Habari kwamba Rais Magufuli ni dikteta ilianza kusemwa na Tundu Lissu ingali bado Magufuli akiwa hai.
Magufuli akaviteka vyombo vyote vya habari, vyombo vya dola, bunge na mahakama. Nchi ikawa kimya hakuna wa kumkosoa wala kumsema vibaya. Aliyethubutu alikiona cha mtema kuni.
Akaeneza...
Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao.
Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!
Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu...
Picha: Dkt. Willbrod Slaa
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita.
TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA
“Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
Kuna Wawili kana sijakosea walipokabidhiwa Majukumu walikuwa kama Fidodido tu, ila naambiwa sasa wanakaribia kufanana na Mapipa ya SIMTANK.
Na mwenye Picha za waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli kabla hajafariki dunia mwaka Jana na walivyo sasa tafadhali aniwekee kwani nataka kufanya...
Makomando hawa walionyanyasika bila ya kutetereka na Mh. Mbowe, ni wakati wa kuutambua mchango wao usio kifani na kuwalipa ipasavyo.
Walinyanyasika na kuhukumiwa wakiwa kwenye harakati zao kujipatia ajira (VIP Protection). Na wapewe ajira hizo sasa.
Mohammed Ling'wenya, Adam Kasekwa, Khalfan...
Salaam Wakuu,
Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu?
Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.