Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape.
"Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
Aisee jana nimeponea chupuchupu kuzirusha na Walinzi wa SUMA JKT, ipo hivi mimi ni dereva Bajaj sasa kuna abiria wangu huwa nampeleka ofisini na kumfata, jana akaniambia kapata dharura haendi kazini ila akanipa laptop nipeleke ofisini kwao na namba ya muhusika ambaye anatakiwa kupelekewa hiyo...
Aisee kumbe usione vyaelea vimeundwa. Hii inatupa picha gani nyie wataalam
Mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani Mh Tundu Lissu alikuwa akilindwa na hawa ma x commandos yaani Khalfani Bwire, Adamu Kusekwa, Mohamed Ligwenya na wenzake.
Baada ya matishio makubwa ya usalama dhidi ya viongozi hawa...
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na...
Wandugu,
Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi.
Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia kwa ukaribu mawasiliano ya kila siku ya simu ya Mbowe aliona kuna connection na Denis Urio hivyo...
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tangu kufunguliwa kwa shule za secondary na msingi inchini mwaka huu 2022,,,
Ofisi za afisa elimu mikoa mbali mbali zimekuwa busy Sana ktk kuhudumia wanainchi wanaohitaji uhamisho wa shule kwa watoto wao.
Baada ya wingi huo wa wananchi...
Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii.
Je, familia ya Mama Janeth...
29 October 2021
Dodoma, Tanzania
Semina iliyoendeshwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper, jijini Dodoma Tanzania
Waziri Mkuu amewasisitiza viongozi hao waepuke matumizi ya walinzi binafsi na waandishi wa habari binafsi katika Ofisi za Umma kwani wanaweza kuwa chanzo cha...
Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita.
Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine.
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote.
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta.
Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo.
Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi?
Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata?
Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na...
Habari wakuu.
Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.
Wengi wao ni kuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.