waliokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majok majok

    Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

    Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta! Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa! Simba...
  2. Kingsmann

    Waliokuwa wanasafirisha Tani 3 za madawa ya kulevya wafikishwa mahakamani

    Wanandoa pamoja na mfanyakazi wa ndani wa kiume, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin na ethamphetamine zenye uzito wa kilo 3,049. Wanandoa hao ni Najim Mohamed (52) na mkewe Maryam Mohamed (50) pamoja...
  3. Erythrocyte

    Tukivujishiwa video za wale waliokuwa wanaokotwa kwenye mifuko ya Sandarusi baharini hali itakuwaje?

    Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu. Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa...
  4. Exile

    Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

    Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao. Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki. Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
  5. S

    Hivi Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kuwa mkiani, wao sasa hivi wako wapi?

    Nasikia Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kushika nafasi ya mwisho kwenye kund,i, leo wanaongoza kundi baada ya mechi yao na Wydad. Nawapa hongera sana kwa kuongaza kundi.
  6. B

    Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

    Ama kweli la kuvunda halina ubani. Yamesikika mengi kuhusu ugaidi na ufwedhuli wa wapalestina na HAMAS. Kwamba HAMAS ni wauaji, wabakaji, magaidi, wenye kutumia mahospitali kama vituo vya kijeshi, wanyama wasiostahili kuishi duniani na eti kuwa walaumiwe wao kwa vita hivi huko Gaza. Kwenye...
  7. Vincenzo Jr

    Kwanini vijana wengi waliokuwa wakitumikia sehemu za ibada huharibikiwa wakiwa watu wazima?

    Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii. Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.
  8. Cannabis

    Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  9. adriz

    Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

    Moja kwa moja, Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana. Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta...
  10. sky soldier

    Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
  11. R

    Maafisa Polisi wawanyanyasa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiripoti maandamano katika makaburi ya Langata

    Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio. Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
  12. Huihui2

    Msuluhishi wa kesi ya waliokuwa wafanyakazi wa TBL atoa maamuzi yenye utata

    Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake...
  13. L

    Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea...
  14. GENTAMYCINE

    Usifurahie Uteuzi bali Sikitika kwani Dossiers zako zimeonyesha Wewe ni Tishio na waliokuwa nyuma yako

    Tena kama kuna Kipindi unatakiwa uwe makini ni sasa kwakuwa hata akina GENTAMYCINE tulipokuwa Kozi kule Venezuela na Kisiwani Puerto Rico tulifundishwa kuwa ukitaka Kummaliza Adui yako onyesha Upendo na Heshima ya Kinafiki Kwake, Msogeze karibu, Msome, wajue Watu wake wa Mikakati, mjaze Upepo (...
  15. OC-CID

    Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  16. OC-CID

    Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  17. BARD AI

    Kesi ya waliokuwa vigogo NIC yakwama mara ya pili mfululizo

    Kesi ya kuchepusha fedha na kulisabishia hasara Shirika la Bima la Taifa (NIC) ya Sh 1.8 bilioni, inayowakabili washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Sam Kamanga, imeshindwa kuendelea mahakamani. Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 18/2023 imeshindwa kuendelea leo...
  18. GENTAMYCINE

    Ni aibu sana kuona Wabunge waliokuwa wa Kwanza Kukimbia 'King'ora' jana Bungeni ni wa Kiume

    Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje. Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni. Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
  19. R

    Sikumkubali Magufuli ila nisingependa waliokuwa washauri wake wamdhalilishe; hawa hata Rais Samia akistaafu watamtendea hivyo

    Rostam Aziz alijiweka karibu na JPM akafanikiwa kuzindua Taifa gesi. Leo JPM hayupo anamdhalilisha kwamba alionga na utawala wake ulikuwa unaelekeza nini mahakama ifanye....kama kweli anachosema ndicho anachokiamini kwanini hakusema JPM akiwa hai? Kwanini hakuwahi kukemea? Mwigulu ameonyesha...
  20. BARD AI

    Abiria waliokuwa kwenye Nyambizi ya Titan wakitalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wafariki dunia

    Kampuni ya OceanGate inayohusika na huduma za uwezeshaji na ukodishaji wa Nyambizi (Submarine) kwaajili ya shughuli za wa utalii, viwanda, utafiti na ugunduzi imesema hadi sasa inaamini kuwa abiria waliokuwa ndani ya Titan wamepoteza maisha. hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku 4 zimepita tangu...
Back
Top Bottom