Watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania ambao Juni 28 2022, walitiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi na uchepushaji wa fedha za walimu kiasi cha shilingi 13,900,000 na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kosa hilo walifungwa miezi 6 gereza la Ukonga lakini walikaa...
Wengi mnaongopewa Kasuku ana uwezo wa kuongea huo ni uongo mkubwa Kasuku hawezi kuongea na haongei
Mwingine atakuongopea Kasuku wako mdogo hajafika umri wa kuongea kimoyo moyo anakucheka
Je, hawa Walimu waliokuwa Wakichekelea Mwalimu Mkuu alipokuwa akimuadhibu Kikatili Mwanafunzi angekufa bado wangeendelea Kucheka?
Kwanini mmewahamisha Shule nyingine na siyo Kuwafukuza kabisa Kazi? Wao Wana tofauti gani na Mwalimu Mkuu aliyekuwa akimchampa huyo Mwanafunzi?
Hovyo kabisa.
Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu.
Kama kwa sasa tu Mshahara wa Aziz Ki wa Shilingi Milioni 23.5 kwa Mwezi unawatoa Jasho na Mchezaji kila...
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
Ama kweli kutesa Kwa zamu. Haya si kwa majirani tu bali hata kwetu wajiandae:
“They were very vocal in telling Kenyans not to vote for thieves yet they were the real thieves."
Hawa siyo kwao tu hata kwetu wapo:
“We will not pay for that loan since farmers did not approve it,” he said...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya watu ili mradi huo usitekelezwe.
“Awamu ya tano tukasema liwalo na liwe lakini azma hii ya Mwalimu...
Mwaka 2015 watia nia ya urais kupitia CCM Mwigulu Nchemba na Januari Makamba walikuwa na timu kubwa sana za vijana wa kuwashangilia mitandaoni ili kuuhadaa umma kwamba ni viongozi wanaokubalika sana na jamii na wanafaa kushika madaraka makubwa ya nchi.
Najiuliza leo Mwaka 2022 Makamba na...
Dk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale.
Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua...
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela
3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba
4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah
5. Hayati Rais Benjamin Mkapa
6...
Wanawake waliokuwa wakiandamana kudai haki ya kuwa na huru Nchini Afghanistan wametawanywa na Wanamgambo wa Taliban ambao pia walitumia nguvu kuwashambulia kwa kuwapiga na kufyatua risasi hewani Jijini Kabul.
Mbali na kuwapiga baadhi yao, pia Wanamgambo hao walichukua simu za waandamanaji hao...
Mzuka wanajamvi
Usikute ilikuwa unga wa muhogo wanachanganya na Viagra. Mmatumbi ni mtu wa ajabu Sana.
Na CCM itatawala muda mrefu Sana. Mfano mzuri tu kikombe Cha babu. Watu walinyweshwa upuzi.
Mjerumani arudi tu. Mboko na mijeledi Ndo dawa pekee ya kutuendeleza.
Isingekuwa kudra na huruma...
Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika?
Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal.
Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania.
Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.
Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.
Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.
Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea...
Tusifichane,
Imebaki kuwa wale wale wenye chuki na Hayati JPM, tena ni wale wale ambao yeye aliwaita wakwamishaji wa maendeleo ya nchi, na aliwashughurikia kisawasawa
Waliokuwa wakila pesa za walipakodi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa, ndio hao hao wana chuki naye mpaka leo, kwa sababu mirija...
Watani mpo!
Katika hali ya Kushangaza Mtu Mmoja kutoka Mkoani Kagera (kwa Watani zake Wakubwa GENTAMYCINE) kutokana na 'Upopoma' wake uliotukuka aliamua 'Kuwabaka' Wasichana Watatu kwa zamu Porini walikokuwa Wakiokota Kuni.
Watani zangu Wahaya hivi 'Uhuni' mmeutoa wapi? Mbona mnatutia sana...
Putin alisema hakuna haja ya kuwaingilia huko kwenye mahandaki yao, bali fungeni njia kiasi ambacho hata inzi hawezi kupenya!! Na kweli bwana leo askari wote wamenyosha mikono na kutoka wenyewe! Yule kamanda wao alibebwa kwenye gari la deraya badala ya bus alipokuwa akipelekwa utekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.