waliopoteza maisha oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

    Hii ni misa ya leo tarehe 29, Oktoba 2026 iliyoongozwa na Padre Charles Kitima kwaajili ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya uchaguzi wa mwaka 2025 Oktoba 29. Na sisi tulioko majumbani na makazini tuendelee kuwaombea ndugu zetu waliopoteza maisha, lakini na familia zilizopoteza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025

    Wananchi watoa maoni yao juu ya pendekezo la Tume kuwa Serikali itenge siku ya maombolezo kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29. Wananchi wengi wametoa maoni ya kuwepo kwa siku hiyo kwa sababu watu wengi walipoteza maisha siku hiyo. Lakini pia ni suala la kitaifa hivyo kumbukizi ikiwepo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yaja na mnara kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025

    ACT Wazalendo mnauhakika huu mnara utadumu, maana lolote linaweza kutokea so mjiandae! =============== “Machozi ya mama anayesubiri kurejeshewa mwili wa mwanae ni kilio kisicho na sauti, lakini chenye uzito mkubwa kwa taifa”. Huo ndio ujumbe uliotolewa na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo...
Back
Top Bottom