PostGE2025 Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Hii ni misa ya leo tarehe 29, Oktoba 2026 iliyoongozwa na Padre Charles Kitima kwaajili ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya uchaguzi wa mwaka 2025 Oktoba 29.

Na sisi tulioko majumbani na makazini tuendelee kuwaombea ndugu zetu waliopoteza maisha, lakini na familia zilizopoteza wapendwa wao. Hakika itakua ni siku ya kukumbukwa daima kwa wengi wetu.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, Amina!

Soma pia: Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025

Popote pale ulipo,nini kinaendelea,tuma picha ya nini kinachojiri siku ya leo!!

Hata kama upo kanisani tupia picha tukuone unavyowaombea wahanga!!

Hali ya usalama ipoje!Kuna yeyote kaumia au purukushani zozote unazoona!

Kuna watu wamezuiwa kwenda ibadani kwenye misa!!!

Tupia chochote ulichoona kinahatarisha usalama wa raia na Mali zao ili hatua za kiusalama zichukuliwe,hili taifa letu sote!!

Mungu ibariki Tanzania,Mungu warehem ndugu zetu waliopoteza maisha October 29.
 
Hii ni misa ya leo tarehe 29, Oktoba 2026 iliyoongozwa na Padre Charles Kitima kwaajili ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya uchaguzi wa mwaka 2025 Oktoba 29.

Na sisi tulioko majumbani na makazini tuendelee kuwaombea ndugu zetu waliopoteza maisha, lakini na familia zilizopoteza wapendwa wao. Hakika itakua ni siku ya kukumbukwa daima kwa wengi wetu.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, Amina!

Soma pia: Kanisa Katoliki limetoa maagizo ya tangazo la misa ya kuwaombea watu waliouawa 29 Oktoba 2025

Hili lizee kutwa kuongelea siasa kwenye madhabahu..mbona kwenye ukristo Kuna mengi mazuri ya kuongelea kuliko kuhubiri chuki na utengano wa kijamii...avue joho aingie kwenye siasa tumwone kama kweli ana hoja
 
Sawa padri..ila vua joho uje kwenye siasa tutakuelewa kuliko kuhubir chuki na utengano wa kijamii ..Tanzania ni Moja na kamwe haitagawanyika...
 
Back
Top Bottom