Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Muulize kafir mwenzio tpaul jana kwa nn alileta uzi ,waulize ndugu zao mkianza sisi tunamaliza.na kwa nini muslims siyo wabunifu? kwa nini msubiri mpaka Christians waanzishe kitu na nyie ndiyo "mjibu"? kwa nini mko sooo obsessed na mambo ya Christians? ni nani amewakataza kufanya ibada zenu za kuwakumbuka watu wenu miaka yooote hiyo hadi leo hii Christians wamefanya ghafla na niyni mnataka ligi, kwa nini? kwa nini mpaka Christians wafanye kitu na ninyi ndiyo mnajibu? kwa nini hamuwezi kusimama wenyewe tu?
hii inaonyesha wazi kwa nini islam ilianzishwa (karne 7 baada ya Kristo) in the first place, ni kupambana na Christiniaty, hilo ndilo lengo kuu la islam hapa duniani na hilo linaonekana kila mahali hata hapa tanzagiza, bila ya Christianity islam haina hoja kabisa, islam haiwezi kusimama yenyewe bila ya Christianity, Christianity ndiyo frame of reference kwa muslims ...
Tuna taratibu zetu ,tukisema no maandamano atakayeandama hatuhusiki.