Hii ni misa ya leo tarehe 29, Oktoba 2026 iliyoongozwa na Padre Charles Kitima kwaajili ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya uchaguzi wa mwaka 2025 Oktoba 29.
Na sisi tulioko majumbani na makazini tuendelee kuwaombea ndugu zetu waliopoteza maisha, lakini na familia zilizopoteza...
Wananchi watoa maoni yao juu ya pendekezo la Tume kuwa Serikali itenge siku ya maombolezo kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29.
Wananchi wengi wametoa maoni ya kuwepo kwa siku hiyo kwa sababu watu wengi walipoteza maisha siku hiyo. Lakini pia ni suala la kitaifa hivyo kumbukizi ikiwepo...
ACT Wazalendo mnauhakika huu mnara utadumu, maana lolote linaweza kutokea so mjiandae!
===============
“Machozi ya mama anayesubiri kurejeshewa mwili wa mwanae ni kilio kisicho na sauti, lakini chenye uzito mkubwa kwa taifa”.
Huo ndio ujumbe uliotolewa na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo...