walioshtakiwa kwa uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Uhaini inayowakabili vijana 3 yapigwa tena kalenda hadi Machi 16

    Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kesi mbili (2) tofauti zinazowakabili vijana watatu (3) wanaodaiwa kuvunja, wizi na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa ni za wizi zimetajwa leo Mahakamani hapo kwaajili ya kutolewa uamuzi Hata hivyo uamuzi wa kesi zote umeshindwa...
  2. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Walioachiwa kwa uhaini: Gerezani tuliishi kama familia, hata ije chapati moja tunahakikisha kila mmoja anapata

    Lissu mmoja anaenda kuzaa akina Lissu wengine maelfu!
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana walioshtakiwa kwa uhaini ni wajasiri na mashujaa kikosi cha kazi maandamano hayawezi kuwa kosa la uhaini kesi hizi zinamchafua Rais Samia

    Vijana walioshtakiwa kwa uhaini ni wajasiri na mashujaa kikosi cha kazi maandamano hayawezi kuwa kosa la uhaini kesi hizi zinamchafua samia zaidi anazima moto kwa kuuwasha zaidi akijua anazima. Tukutane tena #D9 #D9 mabadiliko ni lazima sio hiyari watake wasitake tutalazimisha.
Back
Top Bottom