The Wall Street Journal (WSJ), also referred to simply as the Journal, is an American newspaper based in New York City. The newspaper provides extensive coverage of news, especially business and finance. It operates on a subscription model, requiring readers to pay for access to most of its articles and content. The Journal is published six days a week by Dow Jones & Company, a division of News Corp.
As of 2023, The Wall Street Journal is the largest newspaper in the United States by print circulation, with 609,650 print subscribers. It has 3.17 million digital subscribers, the second-most in the nation after The New York Times. The newspaper is one of the United States' newspapers of record. The first issue of the newspaper was published on July 8, 1889. The editorial page of the Journal is typically center-right in its positions. The newspaper has won 39 Pulitzer Prizes.
Superchawas mna mengi ya kujifunza kwenye utawala wa Donald Trump. Kujaribu kumridhisha Ibilisi is a mission impossible.
Kristi Noem na Pam Bondi ni superchawas ambao walikuwa willing kuvunja kila mwiko wa rule of law ili kumridhisha Mazafaka Trump, lakini mwisho wa siku hawakufanikiwa...
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kristi Noem, alikabiliwa na msururu wa madai ya utovu wa nidhamu mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge siku ya Jumatano. Madai hayo yalijumuisha masuala kuhusu mipango yake ya makazi, kumzuia mkaguzi wa serikali, kutoa mkataba bila ushindani kwa kampuni mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.