THE WALL STREET JOURNAL: Trump Ousts Attorney General Pam Bondi

THE WALL STREET JOURNAL: Trump Ousts Attorney General Pam Bondi

Pulchra Animo

Platinum Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
8,620
Reaction score
15,134
Superchawas mna mengi ya kujifunza kwenye utawala wa Donald Trump. Kujaribu kumridhisha Ibilisi is a mission impossible.

Kristi Noem na Pam Bondi ni superchawas ambao walikuwa willing kuvunja kila mwiko wa rule of law ili kumridhisha Mazafaka Trump, lakini mwisho wa siku hawakufanikiwa kumridhisha na wametoswa, mmoja baada ya mwingine.

Mapema mwezi uliopita, Kristi Noem alipigwa chini. Leo Pam Bondi naye kaoneshwa mlango wa kutokea.

Ya Pam Bondi bado ya moto. Hii hapa:

Trump Ousts Attorney General Pam Bondi — The Wall Street Journal
 
Back
Top Bottom