Ni vigumu sana kujua nani kanunua bidhaa zake wapi, hii ni kwa sababu Wamachinga wanauza kila kitu kinachouzwa madukani tena bila kikwazo chochote.
Wamachinga wanauza nguo, simu, vifaa vya simu, vifaa vya mahospitalini, vifaa vya shule, TV , vifaa vya majumbani na maofisini, ikiwa ni pamoja na...