wamachinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Zoezi la kuwaondoa Wamachinga kwenye njia za Watembea kwa miguu Dar es Salaam, sijaona dalili yoyote ya wao kuondoka

    Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao. Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  3. May Day

    SoC01 Suala la machinga Serikali iache kujifungia na kuwaamini tu Watumishi/Wataalamu wake, iwashirikishe Wataalamu wenye elimu ya mtaani

    Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji. Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa Watendaji wetu hawa kuja na ufumbuzi wa nini wafanye kuhusu suala hili la Wamachinga zaidi ya kutamani tu...
  4. Hismastersvoice

    Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

    Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani. Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao! Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
  5. Erythrocyte

    RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
  6. S

    Wanyonge waanza kumiliki barabara

    Hawa watu wanaoitwa 'wanyonge' walianza kujimilikisha sidewalks, now taratibu wameanza kununua hisa za barabara, soon nazo watazimiliki.
  7. Naanto Mushi

    SoC01 Pendekezo: Serikali iweke Tozo kwa Wamachinga kukabiliana na changamoto kwenye Majiji na Miji

    Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza. Ni kweli...
  8. Sky Eclat

    Wamachinga ni kundi la sekta isiyo rasmi katika uzalishaji, hili ni kundi muhimu sana

    Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji. Hapa mmachinga anafanya biashara kwa heshima, bila adha ya jua au mvua. Hawezi kukwepa kukipia kodi, liseni ya biashara na pango...
  9. Shujaa Mwendazake

    Wamachinga Kahama waonja "Joto ya jiwe" ya Polisi na Mgambo sambamba na Mkurugenzi wa Halmashauri

    "Wakati mnaendelea na mijadala mingine nawafahamisha kwamba Mkurugenzi wa Kahama Anderson Msumba akiwa na Polisi & Mgambo wamewavamia wafanyabiasha wa Kahama na kuwapiga virungu kisha wameiba bidhaa za Wafanyabiasha hao kwa madai kuwa wanafanya biashara maeneo ambayo sio sahihi."- Hilda Newton
  10. K

    Wamachinga hawasaidii Tanzania!

    Watanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe kuongezewa kodi! 1. Hawalipi kodi yeyote ya maana na vibali vya machinga ni kama kukejeli Watanzania. 2...
  11. Suley2019

    Mwanza: Wapigwa shoti ya umeme wakiwahamisha wamachinga

    Wafanyakazi wanne wa kampuni ya Khimji wamejeruhiwa baada ya kupigwa na shoti ya umeme baada ya winchi walilokuwa wamepanda kugusa nyaya za nishati hiyo. Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Julai Mosi, 2021 katika mtaa wa Kirumba inakofanyika shughuli ya kubomoa vibanda vya wamachinga wanaodaiwa...
  12. Trubarg

    Idea ya biashara: Kutengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha

    Wakuu nina idea ya kitengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha. Vibanda hivyo nitaviweka pembezoni mwa barabara zote kubwa zilizopo mjini..kuanzia Shekilango, Sinza, Goba, Mbezi n.k Naomba kama kuna mwenye mchango wa mawazo.
  13. Tazama Ramani

    Je, kati ya Machinga na Watumishi wa Umma, nani hasa wanaochafua miji?

    Salaam wanabodi, Moja kwa moja kwenye hoja. Tatizo tulilonalo ni ajira hii ni fact, watafiti wanasema kufikia 2050 Africa itahitaji ajira mpya zaidi ya milioni 500 (source frani hivi) Hakuna serikali duniani iliomaliza tatzo la ajira kwa kuwaajiri wananchi wake wote (if I'm wrong, correct me)...
  14. GENTAMYCINE

    RC wa Dar ' Comrade ' wangu Amos Makalla jiangalie sana Suala la ' Wamachinga ' linaenda ' Kukufyeka ' usipoachana nalo

    Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote. RC wa Dar Amos Makalla huu ' Mkakati ' ambao nasikia umeuanza hasa wa Kuwapangia na Kuwaondoa ' Wamachinga ' maeneo yao...
  15. mama D

    Mnaosema Hayati Dkt. Magufuli ndiye aliwaambia Wamachinga wajenge mabanda kila mahali, sikilizeni maagizo yake

    Wamachinga ni wananchi kama wengine na wana haki ya kuishi mijini kama watanzania wengine. Mkitaka kuwahamisha hakikisheni mmeandaa mazingira ambayo hayataathiri biashara zao, maana hii ndio kazi inayowafanya wazilee familia zao na kusomesha watoto. Hawa watu hawakupenda kuwa wamachinga kwahiyo...
  16. Trubarg

    Uvamizi wa wamachinga vituo vya daladala Kimara-Kibo

    Serikali imeendelea kuwa kimya kuhusiana na suala la wamachinga na wafanya biashara ndogo ndogo. Kadiri muda unavyozidi kusonga ndivyo hali inazidi kuwa mbaya. Baada ya sehemu wa watembea kwa miguu kuvamiwa na wafanyabiashara ndogondogo hasa Jijini Dar es salaam sasa ni zamu ya vituo vya...
  17. Buyaka

    Kauli ya Rais Samia kwa wananchi akiwa Kariakoo kwamba "Serikali inawabeba" ina ukakasi

    Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini kufuata sheria zinazowekwa katika maeneo mlipo maanake nimeona njia zote zimezingiwa, vibanda kila...
  18. Lord OSAGYEFO

    Hadhi ya Posta Mpya imeharibiwa na biashara za machinga na mama lishe

    Ukweli utawala wa awamu ya 5 kuruhusu wamachinga na mama lishe. Kufanya biashara popote watakapo na wasibughudhiwe ulikuwa na ushamba wa aina yake. Zamani maeneo ya Posta yalikuwa ni maeneo ya kuvutia sana sio kwa wageni bali hata kwa wenyeji. Yalikuwa masafi yasiyo na misongamano ya hovyo...
  19. J

    Je, Wamachinga bado ni mtaji wa Wanasiasa au waanze kufuata sheria bila shuruti?

    Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM. Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
  20. Analogia Malenga

    Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo KARIAKOO Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza wanyabiashara wanaofanya biashara ndani ya soko la Kariakoo, baada ya matembezi Rais Samia...
Back
Top Bottom