Makamu mwenyekiti wa Wamachinga taifa Steven Lusinde amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga Shilimgi Bilioni Tano kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wamachinga Taifa.
Pia wameomba Rais Samia apange siku moja ya kukutana na wamachinga popote atakapoamua watamfuata.
Tazama...
Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan akutane nao kumweleze kero walizonazo ili ajue namna ya kuzifanyia kazi.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Oktoba 20, 2021 na Makamu Mwenyekiti wa wamachinga Taifa, Steven Lusinde wakati akitoa ufafanuzi kuhusu...
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine...
Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea.
Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu.
Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia...
Hili suala la wamachinga linahitaji akili sana na vinginevyo balaa lake huko mbele litakuja juwa ni balaa kubwa sana.
Wamachinga hawa wametoka vijijini na wanapokuja mjini wana attract wenzao wa vijijini na wao waje na ndio maana kila kukicha wanazidi kujaa na Wenzao wakija na wao wanaanza...
Habari zenu ndugu na jamaa ukweli mchungu juu ya hawa ndugu zetu wamachinga.asubuh ya Leo katika mazingira ya ajabu wameanza Tena kujenga vibanda upya walivyo vunjiwa Jana. Hii inasikitisha na kuhuzunisha saana katika mazingira haya, hawa ndugu zetu wanataka kuilaumu serekali itakapo Anza...
Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale.
Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu...
Unamlipisha 20,000 ya kitambulisho cha Mmachinga kuonyesha kuwa yuko eneo hilo kihalali then Leo mnakuja kuwabomolea?
Si muwarudishie basi Hizo 20,000 zao kabla ya kuwanyanyasa? Mliwakubalia tena kwa mbwembwe then sasa hivi watu wamejiwekeza mnaanza figisu!
Warudishieni fedha zao acheni wizi
Tunawakaribisha kwenye Press Conference Leo kama tangazo linavyoonyesha sisi Wamachinga tuliobomolewa vibanda vyetu, tunaomba mtuafuatilie tutakua online.
Pia tutampongeza Mheshimiwa Raisi kwa speed yake ya kutuwekea mazingira mazuri ya biashara.
Jiji limeanza kupendeza
PIA, SOMA:
-...
Jiji la Dar limekaa vululuvululu sana, watu wamejijengea tu nyumba bila mpangilio wa kueleweka. Ni sehemu chache sana za mji hasa za katikati ya jiji ambazo ndizo zimekaa inavyopaswa.
La sivyo hizi mbwembwe za kuwafukuza wamachinga ni just a temporary solution to a permanent problem.
1. Kumfukuza machinga ndani ya nchi yake ni unyanyashaji
2. Kutumia nguvu Ni kudharau wasomi na vyuo vikuu vyetu kuwa vimeshindwa kuzalisha wasomi wa kusaidia jamii kutatua Changamoto kama hizi
3. Kuona wamachinga ni tatizo katika jamii ni ubinafsi na kudhani nchi Ni ya baadhi ya watu. Lkn...
Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?
Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna?
Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa.
Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika...
Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi.
Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Wengi wanapoteza...
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.
Aliyebuni hii mbinu anaakili...
Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.