Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!
#Hii Imeenda
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.
Sisi kama Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na hata TFF wakimfungulia hatumtaki tena Yanga.
Manara anagombana na kila mtu. Kagombana na Shafii, Kitenge, Jemedari Said...
1. Hakikisheni mmewahi / mnawahi Kazini Kwenu na ikibidi fanyeni hata zile Kazi ambazo unajua siyo zako
2. Kiwango chako cha Nidhamu Kazini leo kiwe ni cha maradufu
3. Hata kama huwa una Utani nae ila leo usimtanie na jifanye hujui lolote lile
4. Jifanye leo huchangamki ili Kumzuga aone upo...
Habari jf,
Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki.
Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi.
Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia...
Sina shida na Identify ya Max Mpia Zengeli ya Kuchomekea Jezi yake na kwa wana Yanga SC kuambiwa na Msemaji wao Ali Kamwe kuwa Wote Kesho Jumamosi ni Zengeli Day hivyo watalazimika Kuchomekea kama Yeye.
Mashaka yangu makubwa GENTAMYCINE ni pale tu kukiwa na Siku za Lomalisa na Pakome na Msemaji...
Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote.
Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu...
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.
Happy Simba Day leo kwa...
Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka (Members wana Yanga SC wote...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka?
Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa...
Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu.
Kuna Mambo ya ndani...
Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa tunahitaji kukuona Master Charles Boniface Mkwasa akiiongoza timu yetu katika kampeni ya kuutetea ubingwa wa...
Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
Kukubali ukweli siku zote siyo udhaifu bali ni sehemu ya kujisahihisha. Ukweli ni kwamba USM Algers siyo TP Mazembe, Marumo Gallants, Rivers Wala Monastry. Wakati mwingine ni ngumu kwenda vitani huku ukiamini kuwa hutarejea, lazima ufe, ila uamini usiamini ukweli utabaki kuwa kurudi kwako ukiwa...
1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini
2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo Fainali
3. Simba SC Wameroga ili Mvua inyeshe na tufungwe
4. Mchezaji wetu Tegemeo Khalid Aucho hakuwepo...
Kuna kauli ilitolewa na Mwanachama mwandamizi wa makolo MINOCYCLINE , rejea huu Uzi Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3
Wote tunajua hii account ni ya nani humu, so sitokuwa na haja ya kumtaja.
Ninachotaka kusema, kwavile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.