Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake imeisha Suluhu ( 0 - 0 )
Najua mnashangilia Shingo upande tu huku mkiwa Wanafiki kwani matokeo...
Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto.
Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema:
1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby.
2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi waliitumia kujiandaa na mechi ya watani.
3) Wachezaji waliwadharau wapinzani (by Nabi) hivyo kupoteza...
Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.