wanachadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Ikiwa Leo freeman mbowe ataanzisha chama kipya Cha siasa maelfu ya wanachadema wataungana nae na huo utakuwa mwisho wa chadema

    Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
  2. sonofobia

    Pre GE2025 Wana-CHADEMA tujitokeze Mlimani City kulinda kura

    Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda. Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura. Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka. Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu...
  3. B

    Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  4. Small letter

    WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hawa akina Wenje ndio watu ambao Mbowe anawategemea basi Wanachadema watakuwa wamepoteza

    Aiseeh! Uongo unasifa zake. Unakanuni zake. Uongo unahitaji watu wenye Akili kubwa ili kuufanya uaminike na uonekane ni KWELI. Sasa nimemsikiliza Wenje nikaishia kucheka tuu. Kama hawa ndio watu ambao Mbowe anawategemea na ndio nguzo itakayobaki ya CHADEMA Basi Wanachadema watakuwa wamepoteza...
  6. M

    Hivi kwa nini Mbowe huwa hapigi amshaamsha ya kutosha kuwadai wanachadema wanaotekwa na kupotezwa?

    Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho. Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada wake, kuwalinda na kuwatetea na kuwafariji. Hata hivyo huwa nashangazwa na Mbowe ambaye yeye kama...
  7. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Ntobi: Kwamba, tuwe na Mwenyekiti, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media kumpokea

    Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu. Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
  8. Zanzibar-ASP

    Pre GE2025 Mbowe badilika sasa, waambie wanaCHADEMA utawafanyia nini kipya ikiwa utachaguliwa tena

    Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena. Muda mwingi amekuwa akijibu shutuma zinazomhusu na kujitetea kwanini anastahili kuendelea kukalia hicho kiti kwa miaka...
  9. hermanthegreat

    Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
  10. Erythrocyte

    Pre GE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Kweli kuna Wanachadema Hamnazo. Utawezaje kupigania haki bila kuwa na kiongozi mwanaharakati?

    KWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani. Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo...
  12. Patriot missile

    PICHA: Miamba ya Upinzani yenye misimamo isiyoyumba hata nukta moja yakutana kwaajili ya mazungumzo juu ya hatma ya CHADEMA na WanaChadema

    Taifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
  13. K

    Ni Wanachadema vs Watanzania

    Uchaguzi wa Chadema umeleta hisia kwasababu hii viongozi wengi ambao ndiyo wapiga kura wana muunga mkono Mbowe lakini wananchi wengi ambao hawana chama na diaspora wengi wanamuunga mkono Lissu. Hivyo ushindi wa Mbowe unaweza kuonekana mkubwa kwa wachache wanachama lakini Lissu anaumgwa mkono na...
  14. KENZY

    Wanachadema mbona mnakata tamaa mapema..?

    Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!. Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..? Hata hivyo si uchaguzi utafanyika akishinda huyo mnaemtaka ndo mtarudi ama!, hebu kaeni mpige kura, ili kura...
  15. Mganguzi

    Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

    Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
  16. Poppy Hatonn

    Wanachadema 50 Arusha wahamia CCM

    Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM. Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye kazi yake ni kukaa tu Daressalaam na kuisahau Arusha. Wamesema hawa viongozi wa Chadema kazi yao ni...
  17. M

    Utetezi wa Mbowe kwa Wanachadema

    Ni suala la muda tu kabla ya Mzee Mbowe kuchukua form ili atetee nafasi yake ya uwenyekiti ambayo alibadilisha katiba ili awe mwenyekiti wa kudumu. Tutegemee yafuatayo toka kwa huyu Mzee: 1: Nilinyanganywa mali zangu na kufilisiwa 2: Nimewekwa mahabusu kwa ajili ya hiki chama, 3: Nimepigwa...
  18. G Sam

    Wanachadema tuungane tumwambie Mwamba inatosha, asante kwa kazi nzuri mzee

    Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli. Kama kuna siku nitampa Mwamba heshima yake basi ni ile siku atakayosema kuwa this time inatosha naomba nipishe damu mpya nibakie kuwa...
  19. J

    Kwanini Serikali haijatoa rambirambi kwa wanachadema waliowawa ktk ghasia za Uchaguzi Dsm, Singida, na Songwe?

    ..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe? ..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au washindani wao? https://www.youtube.com/watch?v=FI4sAGtsqNY
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

    Habari za weekend! Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe. Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia. Nimejaribu...
Back
Top Bottom