wanachadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Ule ni usaliti, kukata tamaa kwa wanachadema au kupuuzwa kwa uongozi wa juu wa CHADEMA na mipango yao mibovu kuhusu maandamano?

    Maana, bilashaka yoyote, kwa umoja na uzalendo ule wa kiwango cha juu sana walionyesha wanaChadema, mashabiki wake na wananchi wasio na vyama, kugoma na kutokuthubutu kuitikia wito wa Chadema wa kuandamana, ni ishara ya wanachama wa chama hicho kuanza kuususia na kupuuzia mipango, maamuzi na...
  2. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani...
  4. P

    Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  5. chiembe

    Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  6. Influenza

    Pre GE2025 Mbowe: Onyo la Polisi ni mkakati wa makusudi wa Polisi kutafuta kisingizio cha kukamata na kutesa Wanachadema

    Baada ya onyo la Polisi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA waliodaiwa kuwa na mipango ya kuvamia vituo vya Polisi, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema hatua hiyo ni shambulio jingine la kizushi na chuki dhidi ya CHADEMA na viongozi wake na kuwa ni mkakati wa makusudi wa Polisi wa...
  7. jingalao

    Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

    Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Wanachadema wengi tunapiga mahesabu ya kupata ubunge 2025. Tukimwagwa na wananchi tusingizie kuibiwa kama 2020

    Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu. Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure. Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa. Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
  10. Idugunde

    WanaCHADEMA mmeanza mwaka vibaya, Mbowe amejinasibu hadharani kuwa anaongoza kundi la CCM B huku ninyi mkijifanya hamjui hilo.

    Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.
  11. Idugunde

    WanaCHADEMA watakuwa wamechukia wanajua Lengai Sabaya naye atarudi kwenye game. Bado wana kinyongo

    Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai. WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana. Hii nayo imewapa mashaka. 👇
  12. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  13. M

    Mheshimiwa Mbowe, Wananchi na Wanachadema wanasubiri uwasomee maazimio ya kamati kuu juu ya Maridhiano na suala la ngorongoro

    Kwako mheshimiwa Mbowe, Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro. Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
  15. K

    Kampuni ya Boeing imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, Magufuli atajwa

    Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka Marekani na kuja hapa nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yamefanywa katika kiwanda Boeing kilichopo...
  16. Kamanda Asiyechoka

    WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

    Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa. Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu. Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa. Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
  17. Erythrocyte

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  18. Kamanda Asiyechoka

    WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

    Hii ni hatari!
  19. chiembe

    Tetesi: Wanachadema wajiandaa kuvamia mkutano wa Waziri Mkuu wakijifanya na wao wafanyabiashara, lengo kuvuruga

    Vikao vya Siri vya wanachadema vinaendelea chini ya uratibu wa viongozi wao wakuu. Lengo na wao wajichanganye katika mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara wakiwa na ajenda zao za kisiasa. Maofisa wa Chadema makao makuu ambao hawajawahi kuuza hata senene au chumvi, wameandaliwa kukaa mstari...
  20. Shujaa Mwendazake

    No Honey No Fear: Mbowe ajifunze kwa Raila, Wanachadema wajifunze kwa Wakenya

    Kinachotokea 254 kwa sasa ni ishara na lama tosha ya kuonesha uimara wa upinzani nchini Kenya. Lakini uimara huu haukuja hivihivi , ulikuja kwa gharama, jasho na maumivu. Raila licha ya ndoto zake za kuukwaa uraisi pamoja na kuwa anaongoza ngome yabupinzani yenye nguvu kabisa huko KE kuliko...
Back
Top Bottom