Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
Unajiuliza swali mmoja tu la msingi Abdulhaman Kinana kuwa makamu mwenyekiti CCM bara kuna faida kwao?
Kwani nini wafurahia na kukenua meno?
Kinana kuwa makamu wa CCM bara kuna manufaa gani kwao?
Nyuma ya pazia kuna faida kubwa kwao. Maana kwa miaka sita CCM A haukuwapa nafasi ya kufanya...
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
Mhe...
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi
Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo...
Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa.
Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo.
Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?
Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa...
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.
Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
Tunaona majilabu mengi sana kila unapokuchwa na hawa Chadema ,siku hizi wanasema CHADEMA DIGITAL, kila sehemu unasikia wananchi wengi wanahidhuria na kujiunga au kuitikia wito.
Suali:
Je, wanaweza kuitikia wito wa chama watakapohitajika kupinga zulma kwa hali na mali na uhai, tuseme Chadema...
Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu.
My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others...
Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz"
Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.