Wakuu habari…
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.
Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.