Kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli

Lakikunene

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
129
Reaction score
145
Wakuu habari…

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.

Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo

Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss

Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)

Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.

Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini

Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
 
Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss
Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)

Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.

Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini

Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
Wanafiki ndo wanga wa makazini. Nakushauri na uzuri kwamba umeshamjua kikubwa mfuate mpe kikao mweleze yote kwamba umeshamjua na akiendelea peleka shauri tawi la chama cha wafanyakazi hapo kazini vinginevyo ukiwalea watakuharibia maisha ya kazi halafu kingine kikubwa usipende kunywa na staff wenzio kama umeshindwa kaa peke yako kwenye kinywaji maana kinywaji kinaleta utani mwingi unajikuta umeropoka then unayakuta kama yalivyo ofisini.
 
Wakuu habari…

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.

Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo

Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss

Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)

Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.

Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini

Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
kwanza umeandika kilevi levi, tena muda wa kazi!
 
IMG_6913.jpeg
 
Wanafiki ndo wanga wa makazini. Nakushauri na uzuri kwamba umeshamjua kikubwa mfuate mpe kikao mweleze yote kwamba umeshamjua na akiendelea peleka shauri tawi la chama cha wafanyakazi hapo kazini vinginevyo ukiwalea watakuharibia maisha ya kazi halafu kingine kikubwa usipende kunywa na staff wenzio kama umeshindwa kaa peke yako kwenye kinywaji maana kinywaji kinaleta utani mwingi unajikuta umeropoka then unayakuta kama yalivyo ofisini.
Ahsante kwa ushauri mzuri ila kwann nisikae kimya tu nipeni mbinu za kuishi nao
 
Wakuu habari…

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.

Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo

Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss

Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)

Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.

Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini

Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
Kwanza pole,ila kuna jambo Moja kunywa saa za kazi ni kosa kisheria,kunywa baada ya kazi ni starehe na hakuna kosa,kutukana wenzio ukiolewa unajishushia Heshima Wewe na Rafiki zako pia!Huyo nae wa kwenda kwa Boss ni kiherehere tuu,si angekuambia kirafiki.Ila kwenye kazi ni kuishi kwa Akili sana Fanya kazi kama ilivyoelekezwa,Ukaishi.
 
Back
Top Bottom