Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kwanza hapo ulipo SEMA mbele ya boss kua hautakunywa Tena umekosea maana wewe sio MTOTO MDOGO... wewe sio wa kupangiwa na boss utumie vipi pesa au uishije ishije kikubwa jiheshimu na heshima ni muhimu.Wakuu habari…
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.
Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo
Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss
Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)
Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.
Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini
Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
kunywa kistaarabu fanya kazi zako kwa bidii na maarifa usitake kuwaweka karibu hao WORK MATE WAKO ISHI nao kwa mipaka.
I guess to be correct kwa jicho langu la mwewe WEWE UKINYWA POMBE NI TATIZO JICHUNGUZEE..
MZEE MWENZANGU min -me Karibu hapa nasaha zako ni za muhimu Sanaa Sanaa kwa huyu bwana mdogo.