Kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli

Kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli

Kwanza pole,ila kuna jambo Moja kunywa saa za kazi ni kosa kisheria,kunywa baada ya kazi ni starehe na hakuna kosa,kutukana wenzio ukiolewa unajishushia Heshima Wewe na Rafiki zako pia!Huyo nae wa kwenda kwa Boss ni kiherehere tuu,si angekuambia kirafiki.Ila kwenye kazi ni kuishi kwa Akili sana Fanya kazi kama ilivyoelekezwa,Ukaishi.
Ahsante kwa ushauri mzuri
 
Azingatie huu ushauri Mimi nakunywaga for recreational karibu every day jion baada ya kazi huwa na boost kidogo na hakuna mtu anae jua.
Haya mambo ni hatari sana .
Mwanzake niliwahi andikishwa barua ambayo boss alisema niitetee pombe ikiwa mimi ndiye mkorofi au pombe ndiyo chanzo .

Nilipata tabu sana kuiandika ile barua kusema mimi ndiye mkorofi sio kweli mimi ni mpole sana ,kusema pombe ndiyo chanzo nikaogopa hawakawii kuwatisha watu wa bar zote around kazini kuwa ukikutwa unaniuzia bia basi utakuwa umeitafuta hasara yaani kaka haya mambo yaone kama yalivyo ila kikubwa hakuna magumu yasiyopita na hili lilipita na sasa ni mshindi miongoni mwa washindi
 
Kweli pombe tuitawale Ila sio itutawale period!
 
Wakuu habari…

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.

Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo

Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss

Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)

Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.

Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini

Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
Ebu naomba nikushauli chagua kimoja..kati ya Kazi Au Pombe na Ukiheshimu Sana ukiweza kunijibu Nitashukuru.
 
Back
Top Bottom