cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Sisi tunaita Robo, inategemea na ulanzi husika, ila wa hapa kwetu kuanzia robo 3 unaanza kuongea ki Harvard.Unywe kopo ngapi ili uwe HIGH
๐๐๐๐๐๐
Sisi tunaita Robo, inategemea na ulanzi husika, ila wa hapa kwetu kuanzia robo 3 unaanza kuongea ki Harvard.Unywe kopo ngapi ili uwe HIGH
Ahsante ,nimefurahi mno kuona kuna mpaka wanawake wanaojua radha ya hiki kiburudisho asilia .Ulanzi unachanganywa na maji ule mkangafuu, maana unakua unachuchuta kdg, but unaweka na sukari kdg.
Ila mie huu ni wenyewe OG, nautoa halisi ukiwa kwenye Mbeta yake, yaan ni kujileweaa tyuuh.
Usijari karibu Ulanzii mkuu.
Ena wenga, sahivi Pa msamala hapa. Bwela tunywahi mlongo.Palepale pa Mfaranyaki bimbii,nyumbii!
Sawa jibu maswali yangu ,wewe unakunywa kweli pombe kupitiliza au sio kweli ?Nisaidie ndugu kama inawezekana
Karibu tena Msamala.Ahsante ,nimefurahi mno kuona kuna mpaka wanawake wanaojua radha ya hiki kiburudisho asilia .
Kwaheri Chabruma
Kwaheri Namanditi
Kwaheri Ruhuwiko
Kwaheri maji maji
Hakika mmenikarimu sana
Haaahaa ๐ ๐คฃ nimecheka hapo kwenye ki Harvard.Sisi tunaita Robo, inategemea na ulanzi husika, ila wa hapa kwetu kuanzia robo 3 unaanza kuongea ki Harvard.
๐๐๐๐๐๐
Huko siwezi kuja dada ,kuna mzee aliitwa mzee Gama alikuwa ni senior staff jeshini akistaafia hapo maji maji alinikimbiza bila bukta kisa kigori alichokioa huko Dodoma asijue ni kamalaya ka siku nyingi .Karibu tena Msamala.
Yaan una flow ki Oxford km vile uko London,Haaahaa ๐ ๐คฃ nimecheka hapo kwenye ki Harvard.
Unaanza ku flow ki malkia bureee kabisaa.
Ntakuja Iringa kuonjaa hio ladhaa๐Yaan una flow ki Oxford km vile uko London,
๐๐๐๐๐
PitikuHuko siwezi kuja dada ,kuna mzee aliitwa mzee Gama alikuwa ni senior staff jeshini akistaafia hapo maji maji alinikimbiza bila bukta kisa kigori alichokioa huko Dodoma asijue ni kamalaya ka siku nyingi .
Ahsante dada panapo majaliwa nitarudi Songea napakumbuka sana na mambo ya Pitiku
Ahsante kaka kwa usahuri mzuriMimi nakunywa pombe lakini ukiuliza stff wenzangu kwamba huwa nakunywa pombe watakukatalia katakata. Mwanza hawajawahi kuniona nimelewa si kwamba huwa silewi ila najitahidi kuficha mazaifu yangu. Jifunze kuficha mazaifu yako kwani adui hutumia mazaifu uliyonayo kukuangamiza
Sio Iringa, ni Ruvuma Dr.Ntakuja Iringa kuonjaa hio ladhaa๐
Hii ngoja nitembee nayo kakaWengine tumewahi kufikishwa mbali na hiyo jinsia inaitwa wadada humo maofisini
Nilichojifunza ni epuka mazoea nao, jitahidi upunguze kuongea sanaaa hasa unapokuwa nao, haijalishi una ukaribu nao kiasi gani....
Punguza kujielezea, fanya jambo liliokupeleka hapo ofisini baada ya kazi, jali unakotakiwa kwenda
Epuka mahusiano kazini Tajiri yangu ๐๐๐ utaja nishukuru......Mwanzo alitaka kuleta mazoea ya kimahusiano nikamtolea nje sa sikujua wenda ndio chanzo au laa
Unataka kumpeleka kijana wa watu' La Charlz siyo?Sio Iringa, ni Ruvuma Dr.
hao waliotekeleza hilo tukio ni wateja wangu pendwa kabisa wa mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee,.... mkuuu nakukaribisha na wewe pia uniungishe,.... thanks in advance ๐๐๐
Hujasema bado wewe ni jinsia gani...anyway, nishajua.Mwanzo alitaka kuleta mazoea ya kimahusiano nikamtolea nje sa sikujua wenda ndio chanzo au laa
Huyu ntampeleka pale Chantaburi,Unataka kumpeleka kijana wa watu' La Charlz siyo?