Lakikunene
Senior Member
- Jul 18, 2017
- 129
- 145
- Thread starter
- #121
Hapo tayri nimeshaharibu cv mkuu mana ishu imeshafika kwa Boss yani sijui narudije kuipata heshima tena upyaKama kweli unakunywa pombe na kulewa na mtumishi mwenzio kakusema hivyo kwa bosi, vile vile umesema kuwa ukinywa ni mtu wa utani basi Kuna uwezekano mkubwa hayo mambo yapo kweli.
Mtu aliyelewa kutukana kwake ni kama utani, kuwa makini utaharibu cv yako na kila mtu akuone kituko